Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Duh bado anajitetea kama maji yamemfikia shingoni si aachie ngazi wengine wanaofaa kwa sifa nzuri na mbaya za kujificha wawekwe hapo.

Na utetezi wake ni pumba tupu, ni bora akae kimya asiendelee kujiumbua!
 

Kuna jamaa yangu alijiunga na UDSM 1993. Wenzie waliokuwa na division three walipata scholarship za India. India wakati huo ilikuwa inatoa nafasi 60 kwa watz kwenda soma huko.

Wakati huo (1993) kulikuwa ndio mchakato wa uchangiaji elimu unaanza. sana sana ilikuwa ni kujilipia nauli ya kwenda na kurudi chuoni basi. Miaka hiyo kila mwanafunzi alipewa Sh.45,000/- kwa siku 70.(= na Sh.500/- kwa siku)

Je, JKT alikuwa kambi gani na ilikuwa oparesheni gani? Ajue tu kwamba njia ya mwongo ni fupi. Kunyamaza ni hekima.

Ni kweli, cost sharing awamu ya kwanza ilianza 1993/94 academic year ambapo watu walikuwa analipwa shiling 15,000/- kwa mwezi...Mhula mzima wa miezi mitatu mtu alikuwa anapata kama shiling 45,000!! Hiyo amount uliyoitaja siikumbuki kwa kweli.

Na kuhusu JK, intake ya mwisho ilikuwa ni ile ya miezi 6 kwa mwaka 1993/94. Kwa vile Mhe alimaliza K6 1996, basi jeshi lilishafutwa.

Tatizo langu ni kwamba huyu, Mh Mlugo alisoma peke yake kiasi kwamba hakuna school mate hata mmoja anayemkubuka na kuja kutupa ushuhuda wa shule yake kuanzia form 1 hadi 6??
 
kwenye orodha ya mawaziri wajinga tanzania kawambwa alikuwa wa kwanza wa pili hussein mwinyi, lakini kasi alokuja nayo mulogo, imebidi niifanyie marekebisho hii orodha, wa kwanza mulogo, wa pili hussein mwinyi na wa tatu ndo kawambwa, please update your records accordingly.
 
Tungefahamu ilikuwa ni mwaka gani?kwani miaka ya nyumba elimu ilikuwa ni bure mpaka chuo kikuu.!!!
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="class: cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: center"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





[TABLE="class: cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%, align: center"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, align: center"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



  • Kama alimaliza Form 6 mwaka 1996, zen ndio akajiunga na open university mwaka 2002, lazima atakuwa alifeli tuu
    hiyo form 6 manake enzi hizo ilikuwa ukifaulu unapata government scholership. huyu Naibu waziri aache kutapatapa
    ajiuzulu tu kwa aibu aliyotupatia kwa ili presentation yake kule kwa madiba.
 
Naona kuna zaidi ya lile suala la kuteleza kwa ulimi. Tusiojua, naomba tujuzwe zaidi kuna nini na huyu Mheshimiwa; lazima kutakuwa na la ziada zaidi ya ile presentation! Tuliweke wazi ili sote tulijue tuweze kumsaidia au kumsaidia aliyemteua!
 
kwenye orodha ya mawaziri wajinga tanzania kawambwa alikuwa wa kwanza wa pili hussein mwinyi, lakini kasi alokuja nayo mulogo, imebidi niifanyie marekebisho hii orodha, wa kwanza mulogo, wa pili hussein mwinyi na wa tatu ndo kawambwa, please update your records accordingly.
Hahahahahahahahahahahaha yaani umenifanya nichekee mpaka machozi, sasa mulugo ana top waziri vilaza kwenye serikali ya dhaifu HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA mbavu zangu
 
Amemaliza A-level one nineteen ninety six (1996) miaka miwili baada ya kuanza utaratibu wa wanafunzi kukopeshwa na kipindi hicho mkopo ulikuwa si kikwazo unachotakiwa uwe umemaliza form 6 na kufaulu na uwe admission (yaani ukipata chuo tu maana yake mkopo tayari) anavyosema alikuwa anatafuta ada ni uzushi tu labda kama angekuwa amemaliza A-level kuanzia 2003 hapa kidogo dhana ya kuchangia elimu ndio ilianza kutekelezwa kwa vitendo kwa mwanafunzi kuchangia kiasi flani cha ada lakini enzi za 1990s ilikuwa hata ada hujui ni shilingi ngapi unachopewa wewe ni food and accomodation na statinery allowance unakwenda kusepa
 
Naona kuna zaidi ya lile suala la kuteleza kwa ulimi. Tusiojua, naomba tujuzwe zaidi kuna nini na huyu Mheshimiwa; lazima kutakuwa na la ziada zaidi ya ile presentation! Tuliweke wazi ili sote tulijue tuweze kumsaidia au kumsaidia aliyemteua!

Tatizo ni mazungumzo yake yanajichanganya, CV inaonekana amemaliza A-level 1996 na chuo amesoma 2002 mpaka 2008 open university. Kwenye maneno yake yeye mwenyewe anasema amekuwa ni mwalimu wa siku nyingi mpaka akafikia level ya u-headmaster (huo ualimu sijui alisomea wapi na gap hilo la elimu ya secondary na chuo?). Mwisho kabisa kuna thread kuna mtu ali-comment kwamba kipindi anasoma alitumia cheti cha Diploma cha mtu mwingine (somebody Mulungu).
 
Ni kweli, cost sharing awamu ya kwanza ilianza 1993/94 academic year ambapo watu walikuwa analipwa shiling 15,000/- kwa mwezi...Mhula mzima wa miezi mitatu mtu alikuwa anapata kama shiling 45,000!! Hiyo amount uliyoitaja siikumbuki kwa kweli.

Na kuhusu JK, intake ya mwisho ilikuwa ni ile ya miezi 6 kwa mwaka 1993/94. Kwa vile Mhe alimaliza K6 1996, basi jeshi lilishafutwa.

Tatizo langu ni kwamba huyu, Mh Mlugo alisoma peke yake kiasi kwamba hakuna school mate hata mmoja anayemkubuka na kuja kutupa ushuhuda wa shule yake kuanzia form 1 hadi 6??

Kuingia kwenye uongozi inabidi ujipange kutetete wasifu wako wa elimu, jamaa analeta mashaka katika utetezi wake kwani miaka hiyo hata Division 3 walikuwa wanapata vyuo kama sio Mlimani au SUA au Muhimbili kulikuwa na taasisi za elimu ya juu nyingi kama Mzumbe, CDTI, IFM, Ushirika n.k vilikuwa vinatoa Advanced Diploma (ambayo ilikuwa kama equivalebt qualification) ina maana hata hizo hakuziona mpaka asingizie ada
 
Huyu bwana alipokuwa Mbeya Secondary alikuwa Head Prefect na alipokwendw Songea Boys akisoma masomo ya HGL alifeli FORM VI kwa KUPATA DIV 0. na aliporudi MBEYA akawa anafundisha ktk shule 1 ya Sekondary ya WAHINDI pale Town kwa kutumia vyeti feki. then yule muhindi shule ikamshinda akamwachia MULOGO akarudi kwao INDIA. from there jamaa ndo akaanza kupata fedha na alipogombea ubunge inasemekana alikuwa anajitambulisha amesoma UDSM Kumbe ndgu yake ndo alisoma UDSM anatumia vyeti vya huyo ndgu yake. kashfa zilipozidi ndo akatoa record kuwa kasoma OPEN.
 
Huyu bwana alipokuwa Mbeya Secondary alikuwa Head Prefect na alipokwendw Songea Boys akisoma masomo ya HGL alifeli FORM VI kwa KUPATA DIV 0. na aliporudi MBEYA akawa anafundisha ktk shule 1 ya Sekondary ya WAHINDI pale Town kwa kutumia vyeti feki. then yule muhindi shule ikamshinda akamwachia MULOGO akarudi kwao INDIA. from there jamaa ndo akaanza kupata fedha na alipogombea ubunge inasemekana alikuwa anajitambulisha amesoma UDSM Kumbe ndgu yake ndo alisoma UDSM anatumia vyeti vya huyo ndgu yake. kashfa zilipozidi ndo akatoa record kuwa kasoma OPEN.

Kama mkuu unazo taarifa, naomba uziweke vizuri.

Wakati anasoma hapo Mbeya Sec alikuwa anatumia jina gani? Je alisoma pale kuanzia mwaka gani na alimaliza form 4 mwaka upi? Pia matokeo yake ya form 4 yalikuwaje?

Na hakuna watu waliosoma naye Songea Boys?

Hizi records ni muhimu zikawekwa wazi ili watu wajue kuwa kuna vihiyo wanachezea elimu ya watoto na wajukuu zetu.
 
...Ndiyo yale yale ya Ndalichako kumpa mtu maksi asiyesitahili kisa kasomeshwa na Padri....haki ya mungu hii nchi hii tusipoangalia Kardinali Pengo atahamia Ikulu...........Tanzania tuwe macho tulaani vitendo vya NECTA kuwapa maksi wasio sitahili kisha kila mwaka tunasomewa wanaoongoza ni St fulani.............halfu madudu kama haya hata uelewa wake ni tatizo............
 
Jamani tumuache mweshimiwa, mimi namfahamu nimesoma nae darasa moja mbeya day, ukweli ni kuwa zamani watu wa kipato cha chini walikuwa hawezi kujilipia private school, ndio maana na yeye kwa kuwa ametoka katika familia duni ilibidi akariri shule ili afaulu, alirudia darasa la saba kwa jina la Hamimu Agustino na ndilo alilosomea mbeya day, then baada ya kumaliza six alirudisha jina lake la zamani la Philipo Mulugo na Akaliendeleza la Agustino Katikati. so ndio maana anaitwa philipo agustinno mulugo

maisha ni kupambana kutafuta alternative, that why hata alipomaliza six hakupa pass nzuri za kwenda mlimani then akaanza kufundisha na baadae kujisomesha open university

Nampongeza kikwete kumchangua mtu ambae ametoka kwenye familia ya no body, hii nchi ni yetu sote sio watu pekeee waliokulia mjini na walio bright tu!!

jiangalieni kwenye familia mlizopo nani hakuna mtu aliyekosa ndugu aliyekariri, so it was kasumba ya wakati ule.
 
Na wiki iliyopita siku ya Ijumaa kama sijakosea sana, alikuwa anaunga mkono hoja ya Mh. Mbatia bungeni kuwa serikali inapaswa kuimarisha masomo ya shule ya msingi kwa kuyapunguza na kubaki na 3K yaani: Kusoma, Kuandika na Kuhesabu. Mh. Mulugo akasema wao wizarani wamelijadili hilo na wamekuja 3R yaani: Reading, Writing and Arithmetrics. Hapo unaweza kuona jinsi mtu huyu aliyefaulu peke yake anavyoitumia elimu aliyoipata.
 
Kumbe alisomeshwa na Padre/ Kanisa,,,,,,!!!! Shukrani Padre kwa kumsomesha N/waziri, ila sijui yeye ameshasomesha wanagapi kama shukrani,
Penye red:yeye amesema alisomeshwa na padri na wala si kanisa kama wewe unavyotaka kupotosha jamii!kuna tofauti kubwa kati ya kanisa na padri kama ilivyo tofauti kati ya sheh na msikiti!upotoshaji wako hautofautiani sana na ule uliyotolewa na Waziri mulugo aliposema Tanzania ilitokana na muungano wa Tanganyika na visiwa vya pemba na Zimbabwe badala ya kusema ni muungano wa Tanganyika na visiwa vya pemba na unguja!
 
Duu kamaliza form 4 na miaka 21!!!
Kipindi anamaliza form 6 (kama kweli alimaliza), serikali ilikuwa inatoa mikopo katika awamu ya kwanza ya kuchangia gharam za elimu ya juu...

Kwa hiyo hawezi kutushawishi kwamba alikosa pesa za elimu ya juu ingawa elimu ilikuwa siyo bure 100% kama miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa 1990s ambapo hata kusafiri ilikuwa ni kwa travel warrant.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Philipo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Augustino
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Mulugo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Songwe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]27 January 1972
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]1989
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]1993
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School
[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1996
[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania
[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )
[/TD]
[TD="align: center"]2002
[/TD]
[TD="align: center"]2008
[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hongera sana Mh. Mulugo mi sina tatizo na wewe umejitahidi kadri uwezavyo labda wa kulaumiwa ni aliye kuteua wewe na kukuona unafaa katika sehemu zote hizo mpaka za kuenda kutuwakilisha nje ya nchi, ila sisi tunaosoma Psychology tunaamini kuwa kuteleza kwa ulimi ama kalamu sisi kwetu mtaji tunajifunza mengi katika hayo labda kwa tathmini zangu chache juu ya kile kinachoitwa kutuabisha mbele wasomi na dunia nzima kwa ujumla ni haya;

1. Kunawengine wengi sana huko serikalini walio kama wewe sema hawakupata nafasi ya kuaibika kama wewe, so usife moyo piga kazi.

2. Huenda ikawa ndo sababu ya kutosoma na kushughulikia ripoti zinazofichua UPOGO katika wizara mbalimbali ikiwemo ya kwako, ila naamini zingine zinaandikwa kiswahili ila bado haikutoi kwenye lawama mana ulishindwa kujua hata Tanzania ni muunganiko wa nchi gani na gani.

3. Kwenye Psychologia tunaamini unapokuwa unaongea na rafiki yako ukasahau jina lake kuna mambo hayaendi sawa baina yako na yeye ila huwezi mwambia kwa kua unamuogopa ama watu watakuonaje, kwa tafsiri hiyo naamini una mgogoro wa nafsi na kisiwa cha Zanzibar kusahau kutaja unguja ni sababu tu ya kuniwezesha mimi mchambuzi kupata broad picture wanaosoma Psychology watakua wananielewa.
 
Ukweli unauma, Padre hana fungu la pesa zaidi ya pesa za Kanisa, kuna tofauti kubwa saana kati ya Padre na Shekhe, Padre ni mali ya kanisa na hana shughuli yake binafsi inayomwingizia kipato, ila kila kitu anapewa na kanisa, shekhe anajishughuli na kazi zake binafsi za kumwingizia riziki ya kila siku,
Penye red:yeye amesema alisomeshwa na padri na wala si kanisa kama wewe unavyotaka kupotosha jamii!kuna tofauti kubwa kati ya kanisa na padri kama ilivyo tofauti kati ya sheh na msikiti!upotoshaji wako hautofautiani sana na ule uliyotolewa na Waziri mulugo aliposema Tanzania ilitokana na muungano wa Tanganyika na visiwa vya pemba na Zimbabwe badala ya kusema ni muungano wa Tanganyika na visiwa vya pemba na unguja!
 
Back
Top Bottom