yaani watu wantetea hili jambo, jimbo la karatu lina wabunge wawili tayari na huyu anakua wa tatu, kiutaratibu chama kilipendekeza majina kwa utaratibu wa viongozi waliojifungia kuamua nani apate na nani asipate, mimi kama mwanaCDM sikubaliani na hii, hii inatoa mwanya mkubwa zaidi wa kuwekana...