Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege

Hakika MVUA GAMBA aka JOHN du basi punguza kumuandama Mzee wa watu kwa mambo ya kizushi kiasi inakuwa ka utoto wa kadomee.Sijui umri wako lakini kwa sie tuliocheza mchezo huo miaka kumi na tano tunaona unacheza mchezo huo katika umri huu acha basi ukue John.

Tunga basi uongo unaokaribia ukweli,yani kwa lugha nyingine umiza kichwa kutunga uongo ili utuaminishe.Ukienda hivi Membe ukiludi pale Membe du payroll nyingine ni utumwa mbaya sana.Yani inakuwa kuwa Bosi nilazima akiingia kwenye JF akute thread yoyote ile kuhusu kumchafua Membe.

Jipange ama tafuta ID mpya.
 
Ukweli wa habari yenyewe...mmmh! Nachelea kuuamini jinsi habari yenyewe ilivyowekwa! Amejuaje simu alikua anapigiwa Mukama na alichoelezwa?
 
Wana Jf
Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim Bwana Mukama na kumuambia Tayari ameongea na Mpiganaji na atamueleza mzee kwahiyo asiwe na Shaka aongee na wanahabari asipate Shaka

Jukumu la kumuelewesha mzee ni la dogo kwahiyo aongee baada ya hapo dogo alitoka na baadae bosi wa Mambo ya njee alibaki

Jamani Mh Membe si akubali tu swala la mashoga Nchini kumbe kunawatu wengi wangeweza kuolewa,mi siamini kana ni pesa tu unamfanya mtu akeshe kuwinda watu wameelekea wapi,wako na nani na wamekaa kwa muda gani,tena nakuweza kujuwa walichokuwa wanasema.haya si mapenzi ya kawaida inaweza kuwa ndowa.Mwakahuu MaFiSaDi watatumia jila njia kumchafua mtu,kwatuwalipa watu,kulalanao,hata kuwapa kazi,lengo ni kushika Nchi.
 
We Unahangaika sana na hawa watu... Membe naona anawanyima kweli usingizi, maana kila siku wewe ni Membe this, Nape that,...

Nahisi na leo usiku utamuota huyo Membe,.... Hahahaa duh!

Ongezeni bidii kwenye maharambee huko... labda itasaidia.

Usitutafutie ban tafadhari.
 
Alichoongea mtoa mada sikioni; walichoongea wachangiaji nacho sikioni; mbaya zaidi, hata mwenyewe ninachoongea sikioni kwenye suala zima hili sikioni. Nazani JF ingekuwa disabled angalau kwa miezi mitatu, labda baada ya huo muda memberz watakuwa wame-sharpen uwezo wao wa kufikiri na hivyo kuanza kuandika mambo ya maana!!! Mi mwenyewe zamani nilikuwa haipiti wiki kabla cjaanzisha thread, hivi sasa nimebaki kuchangia ujinga tu !!!
 
Itakuwa patashika nguo kuchanika kati ya kundi la Membe na kundi la Lowassa chini ya Mwenyekiti wa kundi hilo Rostam.

Ndugu yangu BAK hakuna nguo kuchanika hapo. Membe siyo siyo size ya Lowassa,hata yeye analifahamu hilo. Ndiyo maana wapenzi na mashabiki wake toka wiki iliyopita walalama humu JF baada ya kugundua gamba limegoma kuchunika! Tatizo la wana CCM ni uoga,maisha nje ya CCM yenye Dola wanayaogopa sana! Lakini hivi karibuni bila kutaka watarudi mitaani!
 
Wiki ijayo atamuona Membe akienda kwa mganga wa Kienyeji, kisha atasikia akimpigia simu Prince kuwa nimmalize au apate kiharusi tu, Prince atajibu ngoja nimuulize mzee. Let us be fair to both Camps, (BM & EL) kama hatuna habari za kuandika tusiwazushie uhasama usio wa lazima, tutajibu nini mbele za Mungu?
 
Yaani Membe, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anahitaji kupeleka ujumbe kwa bosi wake kupitia mwana mfalme?
Tunaelekea wapi?

Hizo propaganda tu za makundi ya magamba kujaribu kuchafuana,kesho utasikia upande huu nao umejibu mapigo kwa kutuma watu humu kueleza kundi lingine nalo lilivyokutana kwa "siri" ambazo ziko nje hapa jamii forum!
 
Alichoongea mtoa mada sikioni; walichoongea wachangiaji nacho sikioni; mbaya zaidi, hata mwenyewe ninachoongea sikioni kwenye suala zima hili sikioni. Nazani JF ingekuwa disabled angalau kwa miezi mitatu, labda baada ya huo muda memberz watakuwa wame-sharpen uwezo wao wa kufikiri na hivyo kuanza kuandika mambo ya maana!!! Mi mwenyewe zamani nilikuwa haipiti wiki kabla cjaanzisha thread, hivi sasa nimebaki kuchangia ujinga tu !!!


kamanda we subiri tu lowassa aingie madarani kama atafanikiwa(mungu apishie mbali),jambo la kwanza atakalolifanya ni kuishughulikia jamii forum.....maana jamaa ninavyomjua hana uvumilivu hata kidogo,hapo nadhani hicho unachokiombea kitafika
 
Hatuna mfalme Ikulu TZ!
Tuna roboti moja handsome linafanya maamuz!
Then,naweza kumwita RIDHWAN mdoli,son of ROBOT.
 
Message ikipitia kwa Prince ni rahisi mfalme kuikubali si unajua Prince is the heir of the King
 
Hawa mbwa mpaka 2015 watakuwa wamelishana sumu sana. vita ya panzi...........................
 
Back
Top Bottom