Sudan's bid to join EAC quashed by Uganda & Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sudan's bid to join EAC quashed by Uganda & Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by uglytruth, Nov 29, 2011.

 1. u

  uglytruth Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The Sudanese government faced a diplomatic setback after two countries rejected its application to join the East African Community (EAC), a newspaper reported today.

  The Kampala-based Daily Monitor newspaper said that Uganda and Tanzania raised the flag citing concerns over Khartoum’s democratic practices and its treatment of women.

  Last June, Sudanese president Omer Hassan al-Bashir wrote to Burundian President Pierre Nkurunziza, who is the EAC chairperson, requesting that his country be admitted to the bloc. Divisions within the member states on the request at the time forced a deferral of the decision to the upcoming EAC summit.

  A Ugandan official revealed that during the EAC council of ministers meeting his country along with Tanzania raised objections.

  “We rejected their application after looking at several issues like their democracy, the way they treat women and their religious politics and we feel they don’t qualify at all,” Eriya Kategaya, Uganda’s minister for East African Affairs said.

  Article 3 (3) of the EAC charter stipulates that membership is contingent upon adherence to universally acceptable principles of good governance, democracy, the rule of law, observance of human rights and social justice.

  Furthermore sharing joint borders is a requirement for the EAC membership which Sudan does not satisfy.

  The final decision on Sudan’s application will be delivered on Wednesday when Ugandan President Yoweri Museveni, Paul Kagame of Rwanda, Mwai Kibaki of Kenya, Jakaya Kikwete of Tanzania and Pierre Nkurunziza of Burundi meet in the heads-of-state summit.

  Uganda’s relations with Sudan have been strained for the last two years over the former’s support for south’s independence, position on the International Criminal Court (ICC) warrant for Bashir and hosting some Darfur rebel figures.

  Just last month Sudan’s First Vice President Ali Osman Taha accused Musevini of seeking a regime change in Khartoum as part of his broader agendas to halt Arab advances in Africa.

  Last week, the Ugandan president slammed Khartoum’s ‘Arabisation’ policies which he said led to South Sudan choosing to secede from the north.

  South Sudan officially became an independent nation last July after its citizens voted in a referendum earlier this year overwhelmingly in favor of splitting from the north. The exercise was stipulated as part of the 2005 Comprehensive Peace Agreement (CPA) which ended more than two-decades of civil war.

  Kategaya said a similar application by South Sudan to join EAC, which was submitted formally last week instead of the required six months ahead of the summit, was late and would instead be discussed next year.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  sudan haitakubaliwa kwa kuwa waislam ni wengi,sudan ya kusini itakubaliwa kwa kuwa wakristo ni wengi!huo ndio ukweli!uislam kuenea ni dhambi ila ukristo kuenea ni haki.kikwete uwe makini kwa hili jambo
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  It is all about oil. South of sudan has oil na kuwakubalia north of sudan ni kama kutonesha kidonda cha south of sudan. EAC wanajua south sudan wakiingia katika bloc watafaidika na cheap oil from south of sudan. North of Sudan sasa hivi wamekwama kwani waarabu hawawataki na waafrika mashariki hawawataki. Wamebakia peke yao na wamisri.

  Dunia kweli mzunguko nakumbuka matatizo ya river Nile Sudan na Misri walikuwa wanafaidika sana walikuwa wakali kuguswa kwa mto nile. Leo hii wanabidi wanywe na kukubaliana na nchi za maziwa mkuu (Uganda, Tanzania, Kenya, Rwanda and South of Sudan).
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Bongolala ishu hapo sio uislamu bali mafuta. Uganda mbona waislamu ni wengi na wamewasupport south of sudan. Sio kila kitu dini mkuu. Udini upo but sio katika kila kitu.
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Hawa waarabu wanataka ku-advance kwenda wapi? Kuja kutu-enslave huku kusini au?
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  itakuwa ngumu sana hawa jamaa kuingia EAC, kama sharing borders ndio kabisaaaaaaaaaaa angalia hapa chini ni sawa na tz kuungana na zimbabwe, na hawa north wakiingia basi EAC itakuwa ni vita kwenda mbele, cha muhimu ni kuamua nani aingie kati ya south na north wel north mipaka yao inaruhusu na hawana magomvi kama hawa north

  [IMAGE] http://pphsinc.files.wordpress.com/2011/08/sudan-map.jpg [/IMAGE]
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nadhani hapa Issue siyo Sudan Khartoum, hapa issue ni South Sudan. Nchi zote za EAC zinangalia Juba, siyo kwa maslahi ya South Sudan, No, not at all. sasa kuikubalia Khartoum ni kujichimbia kaburi, maana pale tayari kuna mgogoro kati ya Khartoum na Juba. so hata kwa mwenye akili ndogo hawezi kuwakubalia Khartoum kuingia EAC, but for sure South Sudan hata wakiomba leo watakubaliwa kirahisi sana, Na Kenya wameshatangulia zamani mjini Juba huku wengine tukibaki tunang'aa macho.
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...hizi fantasy zenu za cheap oil kutoka member state sijui mnazitoa wapi? Mbona members wengine hawafaidiki na gold ya TZ,hayo mafuta yapo Sudan lakini mengi ni mali ya corporate companies like BP,Exxon mobile etc,ndugu oil utaendelea kulipa world market price inayopangwa na OPEc or wallstreet hizo story nyingine sahau na hazitatokea,EAC haina influence yeyote na politics or security of member states...

  EAC is all about business and markets na sielewi kwanini watu wengi wanapinga EAC wakati at the end of the day ni wao watafaidika na hizo opportunity zitakazotokea,kuna ubaya gani kuwa na uwezo wa kusafiri bila visa EA yote na kufanya biashara zako kama raia wa nchi moja?kuna ubaya gani wa kuwa na uwezo wa kwenda nchi yeyote within EA na kuomba kazi kama raia wa nchi hiyo?

  Kuna ubaya gani kuwa na access ya all universities within EA na kuwa admitted kama raia wao na kulipa fee kama wao? waulizeni business people wanao deal na borders kufanya biashara zao ndio mtaelewa nini maana ya EA,you people need to educate yourself maana wengi mnaonekana hamuelewi hii kitu zaidi ya siasa na porojo za mtaani.
   
 9. M

  Mzee Kijana JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 749
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 80
  Wewe ndio hujui kabisa unachokiongea. Mbona TZ na Zimbabwe zipo ktk SADC kama nchi kuwa mbali ni kigezo cha kutoruhusiwa kuwa mwanachama? Halafu hiyo hoja yako ya vita kuenea Afrika Mashariki ikiwa Sudan itapewa uanachama ndio haina mashiko kabisa. Mbona Burundi ni mwanachama na hakuna vita pamoja na matatizo yao yote hayo? Hebu fikiri kama msomi.
   
 10. M

  Mzee Kijana JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 749
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 80
  Serikali ya Tanzania huwa inashangaza sana! Mara zote hujinadi haina dini wala haipendelei dini yoyote. Sasa hili la kupinga uanachama wa Sudan kwa kigezo cha dini na haki za wanawake linatoka wapi?

  Hivi watu wakijitawala kwa kufuata misingi ya dini yao kuna ubaya gani? Ikiwa Wasudani wameamua kujitawala Kiislamu sisi Watanzania tuna haki gani ya kuwapangia?

  Hivi TZ ndo kuna haki sana za wanawake? Kutembea uchi ndio haki za wanawake? Wanawake kuajiriwa kucheza uchi kwenye kumbi za starehe ndio haki? Au ile biashara ya ukahaba inayoachwa bila kukemewa hapa nchini ndio haki zenyewe za wanawake?

  Serikali yetu kwa hili imetia aibu na imeonyesha kwa kiasi gani ina chuki na Uislam. Sababu kubwa ya kukataliwa uanachama wa Sudan ni Uislam kama mada hapo juu inavyojieleza na si vinginevyo.
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135

  "Furthermore sharing joint borders is a requirement for the EAC membership which Sudan does not satisfy."
  tatizo ni lugha ngeni au? geography? GT huunganisha dots, soma maoni ya wengine utaelewa nilizungumzia nini. Na pia angalia ramani mpya ya Africa kuna taifa jipya limeongezeka, na hiyo hiyo zimbabwe niliitumia daaa... aisee hapa hatuandiki riwaya. click hiyo link niliyokupa uone Uganda na TZ walimaanisha nini
   
Loading...