Kuna watu wanafikiri hili suala bado liko kwenye level ya ushabiki wa kisiasa,tena wa kikundi kidogo cha watu.Watawala wana muda mchache wa kufanya maamuzi makini,otherwise Tanganyika mpya itazaliwa muda mfupi ujao,kabla ya kusherekea miaka '50' ya uhuru wa TZ bara!
Kama jana isingekuwa busara ya viongozi wa Chadema tungekuwa tunaongea habari nyingine leo hii, subirini watu watashangaa na watu kama Kishongo, Mzee na wengine wajiandalie ukimbizi maana wanajulikana sana