Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Magamba hakika ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau!!! Hivi unajisikiaje kueneza uongo ilhali nafsini mwako ukweli unaujua? Unaenda msikitini/kanisani kufanya nini? Uteuzi wake Bi. Cecilia Paresso mbona ushafafanuliwa kwa kina humu JF? Regia alikuwa namba 25, Cecilia alikuwa namba 27, yule namba 26 alihama chama, sasa unataka nini? Ulitaka mama yako awekwe namba 26 kwenye list iliyopelekwa NEC na CDM mwaka juzi?

Kuna watu huwa wanatumia masaburi kufikiri ndio maana hata iweje hawaelewi tu!!
 
Ni kweli Tume ya uchaguzi ndiyo inatoa jina LAKINI kutoka orodha waliyopewa Na CDM!! Kumbuka kuwa walipofanya uchaguzi wa hao Wanawake wakashituka kuwa Maswaibu wao watashindwa. Slaa akasimamisha zoezi la kidemokrasia kwa maslahi yao. Hivyo basi Chama kinachodai kuwa cha Demokrasia kikatumia mfumo wa uteuzi, eti baada ya kushauriwa na......... Angalia tuu waliochaguliwa ni maswaibu wa karibu saana na Viongozi wa CDM; kila mtu ana swaiba wake Mbunge wa viti maalum!!!!!!! sasa huyu wa sasa si wa-Slaa. Slaa kapendelewa kapewa Wabunge wa viti maalum wawili pamoja na yule Mzazi mwenzake! Duuu sijui ni zawadi ya kugombea Urais????
 
Jamani hata Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni urithi na fadhila toka kwa Mtei.

Kwani Mbowe ameoa mtoto wa Edwin Mtei ambaye sio tu mwenye share kubwa Chadema pia ni muasisi wa Chadema.

ndio maana Ziti alipoingiza pua yake kutaka uenyekiti ali takiwa kutoa jina lake mara moja. Hiyoo ndi demokrasia ya Chadema.
 
Ni kweli Tume ya uchaguzi ndiyo inatoa jina LAKINI kutoka orodha waliyopewa Na CDM!! Kumbuka kuwa walipofanya uchaguzi wa hao Wanawake wakashituka kuwa Maswaibu wao watashindwa. Slaa akasimamisha zoezi la kidemokrasia kwa maslahi yao. Hivyo basi Chama kinachodai kuwa cha Demokrasia kikatumia mfumo wa uteuzi, eti baada ya kushauriwa na......... Angalia tuu waliochaguliwa ni maswaibu wa karibu saana na Viongozi wa CDM; kila mtu ana swaiba wake Mbunge wa viti maalum!!!!!!! sasa huyu wa sasa si wa-Slaa. Slaa kapendelewa kapewa Wabunge wa viti maalum wawili pamoja na yule Mzazi mwenzake! Duuu sijui ni zawadi ya kugombea Urais????

Na atakae fuata kwa Chadema ni mama watoto wake Slaa ambaye aligombea na Mary Nagu.
 
yaani watu wantetea hili jambo, jimbo la karatu lina wabunge wawili tayari na huyu anakua wa tatu, kiutaratibu chama kilipendekeza majina kwa utaratibu wa viongozi waliojifungia kuamua nani apate na nani asipate, mimi kama mwanaCDM sikubaliani na hii, hii inatoa mwanya mkubwa zaidi wa kuwekana, tunalalamika serikali watu wanavyeo vingi na wengine hawana na sisi tunashabikia hayahaya, mimi nasema hapana na huu utaratibu, kama chama tuweke utaratibu, wagombea waaamue kama udiwani, ubunge viti maalumu au majimboni na utaratibu uwe wazi sio hii style ya sasa katika mikoa ambayo chadema haina base ni morogoro, nilitegemea kwa kulitambua hilo chama kingependekeza mtu kutoka morogoro badala ya kwenda kulundika wabunge watatu kutoka jimbo moja, PEOPLEEEEEEEEEEEEZ
 
Na atakae fuata kwa Chadema ni mama watoto wake Slaa ambaye aligombea na Mary Nagu.
Uelewa wako wa mambo ya Nchi hii ni mdogo sana. Huyu mama yuko Bungeni tangu 2010. Tuachie nchi yetu kwa kuwa sisi hatuijui kabisa nchi yako "mpya". Subiri utarudi kale kampango kenu na akina Jussa kakifanikiwa.
 
Yaani wanachadema wenye akili wako Moshi na Arusha tuu? Ndugu zangu wasukuna na Wanyakyusa mnatumiwa tu, fungueni macho!
 
Uelewa wako wa mambo ya Nchi hii ni mdogo sana. Huyu mama yuko Bungeni tangu 2010. Tuachie nchi yetu kwa kuwa sisi hatuijui kabisa nchi yako "mpya". Subiri utarudi kale kampango kenu na akina Jussa kakifanikiwa.

Ok, atafuata Josephine!
 
Uelewa wako wa mambo ya Nchi hii ni mdogo sana. Huyu mama yuko Bungeni tangu 2010. Tuachie nchi yetu kwa kuwa sisi hatuijui kabisa nchi yako "mpya". Subiri utarudi kale kampango kenu na akina Jussa kakifanikiwa.

Labda nikupambanulie. Mkewe wa kwanza kabla kumtenga kumchukua Jose.

Yuko Bungeni. Anaitwa Rose Kamili.

Tumpe hongera Padre. Wake zake woooote ni wabunge viti maalum.
kweli Padre Dr Slaa Kiboko. Na sasa analeta mtoto wa nduguye kuwa mbunge.

kazi ipo.

nilishatolea ufafanuzi juu ya utaratibu unaofuatwa ktk kuziba nafasi za viti maalum,malalamiko hayo kwa sasa hayana nafasi kwani maamuzi ya nani mrithi yanategeme aorodha ilokwisha pelekwa tume kabla ya uchaguzi mkuu ya walopendekezwa kushika nafasi za viti maalum kupitia CHADEMA,kama utaratibu huo ulotumika zamani/wakati huo haisaidii kuleta propaganda hizo kwa sasa,Hata hivyo nakushauri jenga chama eneo lako ili uwe na wanawake wenye sifa maana hili suala la kulazimisha mizania ktk chama kinachojijenga kuna hatari ya kujikuta mna MAGAMBA ya viti maalum ndani ya CHADEMA,Akina Halima Mdee na wenzake ni kweli walikuwa wa kaskazini,lakini ndo wanawake wachache waliokijua na kukipenda chama kwa wakati huo,tena wenye uwezo,ni mtu mjinga ambaye angetaka chama kithubutu kuwatafuta au kulazimisha kutoa ubunge huo wa chee kwa watu ambao hawana mizizi kwenye chama eti tu kwa lengo la kinachoitwa mizania ya ukanda wakati unajua si kweli kuwa kanda zote una ufuasi,kama bado unajenga,sharti nguvu itoke kulikojengeka kuelekea kule kunakojengwa,na mafundi wazuri wa kujenga eneo ambalo halijajengwa watakuwa ni wale ambao wamezoea au wameshajenga kwao.MAGAMBA MSITUCHANGANYE,NI KWA UTARATIBU HUO LEO CHADEMA WAKISEMA CCM INATIKISIKA NA KUITIKIA MZIKI WAKE,chama kimejengwa na wafuasi wanaongezeka kila siku,hali ya juzi si ya jana,na jana si leo na leo si kesho.TUNAIMARIKA TUNASAMBAA HATIMAYE HATA HICHO KISINGIZIO CHA UKABILA KITATOKOMEA
 
Kwa kila aliye na mashaka au wasiwasi kuhusu uteuzi wake aulize mchakato wa kumpata mbunge wa viti maalum ni upi katika mazingira haya( kujaza pengo). Haipendezi watu wenye elimu kutoa shutuma nzito bila ya kuwa na uhakika wa kile unachotuhumu. Hii ni dhambi kubwa. Kwa faida ya wanajf. orodha ya watu wanaopendekezwa vyama vyao kuteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum, hutumwa mapema hata kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika. Katika suala hili orodha ilipelekwa Sept au octoba 2010 . Baada ya tume ya uchaguzi kukokotoa na kuona chama kinastahili kupata wabunge wangapi ndio hutumia orodha hiyo kuteua. Baada ya kuwasilisha orodha chama hupoteza ushawishi wa nani ateuliwe au aachwe.

Baada ya maelezo hayo, sasa kosa la Dr. Slaa liko wapi? Hata hivyo lililo muhimu sio mahali mtu atokako, muhimu ni uwezo wa mtu huyo katika madaraka aliyopewa. Kwani unapoenda hospitali huwa unauliza dakari au nasi anatokea wapi ndio ukubali au ukatae huduma yake? Hoja nyingine zinasikitisha sana.
 
nilitegemea ww mleta habari ambaye una taarifa ya kuaminika ungeweka CV yake sasa ss wasomaji tuitoe wapi ikiwa ww mleta taarifa huna?
 
Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.

hIZO NI pOROJO ZA MAMA pOROJO. NENDA KALIWE UROJO:ballchain:
 
karatu? Duh, dk dk dk dk hongera dk.jee sio mpwa wa dk slaa lkn huyu?

Mh1 hapa leo tumevamiwa, yaani magamba hapa ndipo walipopata nafasi ya kumwaga hasira zao zote? tuwe kimya kelele za chura hazizuii Mnyama kunywa maji
 
Back
Top Bottom