Mimi mke wangu alijifungua salama salmini hapo hapo Kairuki bila kisu wala nini nadhani we should not rely on doctor's but God other wise we will keep on running from one hospital to another. Every hospital has its positive and negative sides.
Nadhani wewe ndiyo unahitaji kufanya research ya kutosha kuhusu haya uliyoyaandika. Je unajua kwamba Igunga Mjini inaongozwa na diwani wa Chadema? Kama hao wananchi wenye tabia hizo unazozisema waliweza kumchagua diwani wa Chadema wakati huyo Rostam waliyemlilia akiwepo, watashindwa nini...
Mdau, Jackson Makwetta siyo mbunge kwa sasa.Ombi lake la kumalizia kipindi cha JK lilikataliwa na wana magamba wakati wa kura za maoni.
Mbunge wa sasa ni Deo Sanga a.k.a Jah People.
Nawashukuruni sana wote kwa msaada wenu. God bless you abundantly. This solution has worked perfectly with me.
fungua btjunkie - the largest bittorrent search engine utafanya free registration alafu search for adobe acrobat professional uishushe ni nzuri pia unaweza hata kufanya editing moja...
Hallo wana JF,
Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my friend google does not give me nice answers.
Thanks in advance.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.