Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
mpumbavu hutoa maneno ya kipumbavu, bali mwenye hekima huangalia sana aendako!!!
msishangae wake zenu wanalambwa visu visivyotarajiwa....
Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake, bali kila mpumbavu ataka kugombanampumbavu hutoa maneno ya kipumbavu, bali mwenye hekima huangalia sana aendako!!!
Try regency, it worked very well with my family. My wife had five (not all are for the babies) successful c-sections at this hospital. But it need close follow for huzy and wify!Doh! pole Ahgakhan is the worst!!!!! I lost my wife in front of my eyes!!!!!!!
Loh!tutakimbilia wapi sasa siye wa chini MUHIMBILI nako nuksi kweli.ni kwa neema ya mwenyezi mungu.Doh! pole Ahgakhan is the worst!!!!! I lost my wife in front of my eyes!!!!!!!
Pamoja na yote, mapungufu yaliyosemwa hayapaswi kupita hivi hivi, wewe kama ni mteja wao nashauri ukawaambia watu wao wa utawala warekebishe matatizo hayo ili zahama iliyokupata isimtokee mtu mwingine
Doh! pole Ahgakhan is the worst!!!!! I lost my wife in front of my eyes!!!!!!!
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo
tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk jinzi ya kuendelea
na clinic na jinsi gani ya kujifungia hakika dk alitukatisha tamaa sijui alikuwa na stress na mkewe ama lah,..alipotujibu mimba ya ngapi akamabiwa ya kwanza ...aisee yaani ukija hii lazima tuitie kisu mimba ya kwanza nyingi ni kisu siku hizi tukamwacha akama dk 5 tukihisi anatania ..akasema else utapata shida kwenye kujifungua m sikudanganyi...
mmmmh nkasema kama ndio hivi ma ndugu tusonge mbele akaenda aghakhan hospit ndipo alipo mpaka sasa....
Imenishtua kidogo,..madk hata kama mnania operation msiwambie hivi wagonjwa mtawakimbiza jamani