nimie
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 525
- 106
Nakumbuka moja ya Mbeya "Lea watoto"mbeya kulikua na mwailubi,urassa,sokolo,mbembela,double coaster ya kwanza mbeya nzima el_kibo,karanja ilikua inapiga tripu tukuyu-mbeya mjini,wengine wataongezea.
Nakumbuka moja ya Mbeya "Lea watoto"mbeya kulikua na mwailubi,urassa,sokolo,mbembela,double coaster ya kwanza mbeya nzima el_kibo,karanja ilikua inapiga tripu tukuyu-mbeya mjini,wengine wataongezea.
Leo nimekumbuka sana zile enzi za madalada zenye majina maarufu ....wakati tukiwa madenti yaani ujanja ni kuwa 'staff' kwenye daladala maana yake haulipi nauli sababu makonda au dereva ni washkaji..ilikuwa raha kwelikweli.....kama konda hakujui akikuomba nauli unamwambia mi staff...muulize dereva..dah ...
Temeke Posta - Dunia Hadaa( hizi zilikuwa za mwanzo kabisa-Temeke/Tandika Posta),Riziki kwa mungu ,Golo, Kainkwa,Kita Ngoma nk.....Kwa upande wa Ubungo posta kulikuwa na yakle marefu makubwa ..nakumbuka Matema Beach....tukumbushane wadau......
Hii ngoma ilikuwa ikijulikana pia Kama marigold letu. Zilikuwepo ngoma nyingine pia Kama kitoto holdings na msarangaNa lingine lilikuwa linaitwa Mapigo Sita
Nilikuwa nikishuka situpi ticket nakariri gari naitumia tena ninapokwenda safari nyingine, ulikuwa ukinisachi unanikuta na ticket za mabasi tofauti, Usisahau MSHUA - Ubungo - Posta.
Iringa-Tanangozi.....Embakassy na Kombora
Songea...Sijui ilikuwa inaelekea wapi kutoka town kupita Bombambili--CHONAPI (hiace hiyo)
mbeya kulikua na mwailubi,urassa,sokolo,mbembela,double coaster ya kwanza mbeya nzima el_kibo,karanja ilikua inapiga tripu tukuyu-mbeya mjini,wengine wataongezea.
songea-dar kulikuwa na kiswele --hakuna basi lingine lililotia mguu njia ile miak nenda miaka rudi
Leo nimekumbuka sana zile enzi za madalada zenye majina maarufu ....wakati tukiwa madenti yaani ujanja ni kuwa 'staff' kwenye daladala maana yake haulipi nauli sababu makonda au dereva ni washkaji..ilikuwa raha kwelikweli.....kama konda hakujui akikuomba nauli unamwambia mi staff...muulize dereva..dah ...
Temeke Posta - Dunia Hadaa( hizi zilikuwa za mwanzo kabisa-Temeke/Tandika Posta),Riziki kwa mungu ,Golo, Kainkwa,Kita Ngoma nk.....Kwa upande wa Ubungo posta kulikuwa na yakle marefu makubwa ..nakumbuka Matema Beach....tukumbushane wadau......
Kama unakumbuka Kiswele magari yake yote Namba Pleti lazima iwe na tarakimu nne na namba mbili za
mwisho ni 89 yaani mfano TZ 2589. TZA 1389. Duh !! Sijui alikua anatumia majini?
Songea-dar kulikuwa na kiswele --hakuna basi lingine lililotia mguu njia ile miak nenda miaka rudi
Masaa 11 toka Dar hadi Songea.. with devera mashuhuri alikuwa anaitwa "Fikiri"...Dar - Mbinga lilikuwepo "Supu ya Mawe- Iga Ufe" walipeleka ushindani sana kwa zile injini nyuma za kiswele!