BAVICHA Igunga: Hali iko vipi?

Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.

Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.

Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.

Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.

Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.

Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.

Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.

Kumbe kweli akutukanae hakuchagilii tusi, au hawa ni watanizako.
 
People power,kupanga ni kuchagua na inamaana wakijipanga mapema cdm watu wa igunga watawachagua kulingana na sera watakazo zitoa.
 
huwa nasema sehemu zote ambazo hakuna maendeleo ndo ccm huwa inashinda hivyo sitashangaa kuona wakishinda igunga...By the way watanzania maskini wanohofu kubwa sana kuwa wakichagua chama kingine vita vitatokea....ujinga mtupu
 
cdm hapa wakitenga fungu la kuandaa pilau, soda na ndizi itakuwa ni sawa na kumsukuma mlevi wa gongo
 
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!

Umekosea sana.Habari yenyewe umeisoma kwenye Gazeti la Sauti Huru la Jana.Unategemea litaandika +VE kwa CDM? Ukitaka kujua CDM inaungwa mkono Igunga rejea mikutano aliyoifanya Dk.Slaa mkoani TBR wakati alipotaja list of shame ya pili.
 
Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.

Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.

Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.

Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.

Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.

Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.

Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.
Kwa story zako unafaa sana kuwa mwinjilisti hivi nikuulize huyo diwani wa Chadema wa mjini Igunga alipatikanaje tena bila nguvu za kitaifa kama zitakazoelekezwa sasa.
 
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!
mtu mwenye akili anaongea au kuandika vitu alivyo na uhakika navyo ukiona mtu anaropoka kitu asichokijua unapaswa kuhoji uelewa wake na uwezo wa akili yake pia.

Kwa taarifa yako igunga ni sehemu nzuri sana na cdm itashinda kwa kishindo, wananchi wana hasira pamba yao haijanunuliwa subiri majibu mtayapata, na mkakati wa bavicha sio kuweka wazi kila mbinu ya kivita. bavicha songa mbele, kama magamba mnataka tuma uvccm wakutane na bavicha kule field acheni uzushi wa kwenye vaigazeti uchwara hapa.
 
Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.

Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.

Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.

Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.

Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.

Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.

Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.

Umedanganya umma wa JF,inavyoonekana wewe huijui vizuri tabora na wale hujui vizuri mila na desturi za wasukuma na wanyamwezi,mimi napinga hoja zako kama ifuatavyo:

Kwanza:Tabora mjini ina majimbo tisa,majimbo matatu yana wabunge wenye asili ya kigeni[Tabora mjini-Adeni Rage,Tabora kaskazini-Mamlo sumar,Igunga-Rostam Aziz(ambaye amejiuzuru)].Mjimbo yaliyobaki yaani[Igalula-Athumani Mfutakamba,Nzega-Hamisi Kingwangalla,Bukene-Zedi Selemani,Urambo Mashariki-Samwel Sitta,Urambo Magharib-Prof Juma Kapuya,Sikonge-Juma Nkumba ] hawa wote ni watanzania asilia.

Ukifanya mchanganua uatagundua asilimia 67% ya wabunge wa Tabora ni watanzania asilia.Hivyo si sahii kabisa kusema wabunge wengi wa tabora ni wageni au kusema wanyamwezi wanapenda sana kutawaliwa na wageni.

Pili:swala la kusema wanyamwezi na wasukuma ni watiifu sana kwa watawala,je unafahamu kuwa 1995 wanyamwezi wa urambo mashariki walimchagua Dr Jacob Msina(NCCR-Mageuzi) kuwa mbunge?Je unafahamu mkoa wa Shinyanga ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matano yanatawaliwa na upinzani yani UDP(1) na CHADEMA(4),je unafahamu mkoa wa mwanza ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matatu ambayo yalichukuliwa na Chadema,je umesoma vizuri Historia ya Mtemi Mirambo alivyopambana na wakoloni?

Je unafahamu ile sheria ya kuweka watu kizuizini ilitumika kwa mara ya kwa wapi, unaijua Historia ya Kasanga Tumbo ambaye J.K.Nyerere alimuweka kizuizini?sasa utiifu wa wanyamwezi na wasukuma kwa watawala upo wapi?

Hitimisho:Mimi nadhani Chadema au CUF wananafasi kubwa sana ya kuibuka kidedea Igunga kama watajipanga vizuri,kinachotakiwa ni kujenga hoja za msingi na wananchi wataelewa tu!!!
 
Gazeti lenyewe ni TAZAMA la leo 2/8/2011. jaribu kulipata ulisome mimi nimelisoma leo kwa mara ya kwanza.
TAZAMA ndio gazeti gani hilo jamani hebu tujikumbushe ziara ya TIMU NZIMA YA CDM Kwenye mikutano ya mwisho kanda ya ziwa na kati kabla kuanza bunge ilikuwaje acheni uzushi huo na magazeti yenu ya mtandao.
 
Kwa story zako unafaa sana kuwa mwinjilisti hivi nikuulize huyo diwani wa Chadema wa mjini Igunga alipatikanaje tena bila nguvu za kitaifa kama zitakazoelekezwa sasa.

Sawa Mkuu kwa hadhi hiyo japo yote heri mbona Mchungaji Msigwa anachunga kondoo mpaka Bungeni,na hata Nape nae niliskia alipata kuwa Mwinjilisti.

Hakika nakaribisha challange kuhusu jimbo la Igunga.Kama kweli CDM wanakwenda kuchukua jimbo hilo la Wana igunga nitasalute kwa mikakati ya CDM.Lakini na hakika ukizingatia nilivyopata kusema awari kuwa utamaduni wa watu huko ni kuamini kwa mtu husika,Ndio maana hata SHIBUDA alishinda huko.Ndio maana hata cheyo pamoja na Tinga tinga kupiga kambi Bariadi wakati ule ilikua shida sana kumtoa.

Msukuma na Mnyamwezi akisha amini kwa imani yake uwezi kumtoa kirahisi yaitajika kazi ya ziada sio lelemama,Ndio maana hata SERIKALI yenyewe huwa inapata shida san kudeal na makabila haya ya Wasukuma na Wanyamwezi.

Kama umeshawatembelea Masoko yao ya kuuza kwenye minada au gurio,wakisha kuzoea kama muuzaji wakawa na imani na wewe,mteja wako wa kwanza akisha kuwa na imani na wewe,akakusaidia kupata wateja wa aina yake kama wawili watatu jua wewe utakuwa umefanikiwa kutengeneza soko kwa kuwa wata kusanyana kuja kuwa wateja wako wewe na hawata kwenda kwa mwingine yoyote yule zaidi yako wewe hata kama kutakuwa na punguzo la bei kwa wapinzani wako wakauza chini yako wewe bado watakuja kununua kwako.Huyo ndiyo msukuma na Mnyamwezi,ikitokea ukuja kwenye gulio hawatanunua kwa mwingine yoyote mpaka wamekuona na mwenzao ambae ikatokea ndio kwa mara ya kwanza anaingia sokoni kununua bidhaa ambazo wewe uwa unawauzia na wewe haupo ila wapinzani wako kibiashara wako gulioni,hakika wateja wako watamzuia mteja husika asinunue popote pale [wakisisitiza kwa sentensi yao maalufu ya kiluga "YAYA NDO" wakimaanisha "HAPANA ACHA"] mpaka wamekuona.

Kulingana na picha hiyo hapo juu,utajua ni kwanini nasema IGUNGA bado ni jimbo la CCM asilimia Mia 100%.Kwa kuwa ni uamuzi wa Rostam kuwaambia tu mpeni fulani wao watampitisha.Zitapungua kura kiasi kidogo sana kama Rostam hatashiriki kupiga kampeni,Ila bado CCM watashinda japo si kwa kishindo.Lakini kukiwa na ushiriki wake kutakuwa na ushindi wa kishindo.Chadema waende huko lengo kuu likiwa ni kwenda kutumia nafasi hiyo kuleta mwamko kwa jamii hiyo.Waangalie zaidi faida za itikadi ya kisiasa [Political Ideology Mileage] ili wajiandae wasivunjike moyo kwa kuwa hiyo sio ngome yao, na Ngome ya CDM ni ya watu walio na uthubutu [Aggressive].Hivyo si vibaya kwenda na dhamila ya uthubutu kwa nia ya kueleimisha na kuibua chemchem za mawazo mapya na kuwasidia kizazi kipya cha mazingira hayo kufunguka kisiasa na kiutawala.

Hakika ni kilema,lakini tufanyeje kwa kuwa ni safari ya muda mrefu ya kuifungua jamii hiyo kujijua.Hata Serikali yenyewe inapata shida sana kuwafungua watu hawa kwa namana nyingine WANAUPOLE ULIOPITILIZA.YESU MWENYEWE ALIWACHAPA MAKOFI WALIOENDA KUFANYA BIASHARA KWENYE NYUMBA YA BABA YAKE.

Wao mambo ya msingi bado wanaweza kuona kama sio swala kubwa na la msingi na la maana,[Not a Big Deal].
 
Nadhani wewe ndiyo unahitaji kufanya research ya kutosha kuhusu haya uliyoyaandika. Je unajua kwamba Igunga Mjini inaongozwa na diwani wa Chadema? Kama hao wananchi wenye tabia hizo unazozisema waliweza kumchagua diwani wa Chadema wakati huyo Rostam waliyemlilia akiwepo, watashindwa nini kumchagua mbunge wa Chadema?

Songeni mbele wapambanaji, Aluta Continua..................
 
Umedanganya umma wa JF,inavyoonekana wewe huijui vizuri tabora na wale hujui vizuri mila na desturi za wasukuma na wanyamwezi,mimi napinga hoja zako kama ifuatavyo:
Kwanza:Tabora mjini ina majimbo tisa,majimbo matatu yana wabunge wenye asili ya kigeni[Tabora mjini-Adeni Rage,Tabora kaskazini-Mamlo sumar,Igunga-Rostam Aziz(ambaye amejiuzuru)].Mjimbo yaliyobaki yaani[Igalula-Athumani Mfutakamba,Nzega-Hamisi Kingwangalla,Bukene-Zedi Selemani,Urambo Mashariki-Samwel Sitta,Urambo Magharib-Prof Juma Kapuya,Sikonge-Juma Nkumba ] hawa wote ni watanzania asilia.Ukifanya mchanganua uatagundua asilimia 67% ya wabunge wa Tabora ni watanzania asilia.Hivyo si sahii kabisa kusema wabunge wengi wa tabora ni wageni au kusema wanyamwezi wanapenda sana kutawaliwa na wageni.
Pili:swala la kusema wanyamwezi na wasukuma ni watiifu sana kwa watawala,je unafahamu kuwa 1995 wanyamwezi wa urambo mashariki walimchagua Dr Jacob Msina(NCCR-Mageuzi) kuwa mbunge?Je unafahamu mkoa wa Shinyanga ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matano yanatawaliwa na upinzani yani UDP(1) na CHADEMA(4),je unafahamu mkoa wa mwanza ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matatu ambayo yalichukuliwa na Chadema,je umesoma vizuri Historia ya Mtemi Mirambo alivyopambana na wakoloni?Je unafahamu ile sheria ya kuweka watu kizuizini ilitumika kwa mara ya kwa wapi,unaijua Historia ya Kasanga Tumbo ambaye J.K.Nyerere alimuweka kizuizini?sasa utiifu wa wanyamwezi na wasukuma kwa watawala upo wapi?
Hitimisho:Mimi nadhani Chadema au CUF wananafasi kubwa sana ya kuibuka kidedea Igunga kama watajipanga vizuri,kinachotakiwa ni kujenga hoja za msingi na wananchi wataelewa tu!!!
Asante TUKUTUKU

Unajua CCM na wafuasi wake akiwemo huyo DSN wako so desperate wanaokota chochote wanachofikiri kitawasaidia, mtu anakuja na story za kubuni kudanganya watu wazima eti wasukuma wakisema "NDO SHIDA" kwa kiswahili HAKUNA TATIZO--- 'NDO SHIDA' hicho ni kisukuma gani upuuzi mtupu. Wanachotakiwa CCM wajipange vizuri lakini wakitegemea siasa uchwara kama hizi watakuwa wanajidanganya na si ajabu kwenye uchaguzi huu wakaangukia pua.
 
Unajua hao wote waliochaguliwa na kwenye hizo sehemu unazozisema bado niyale yale kuwa bado ni swala la kuwaroyal.Ubunge wa Cheyo,Sitta,Pro Kapuya,Juma Nkumba [Mtoto wa M/kiti CCM] bado ni kwa sababu hiyohiyo ya kuwa na imani na mtu husika na ama chama cha CCM.
 
Asante TUKUTUKU

Unajua CCM na wafuasi wake akiwemo huyo DSN wako so desperate wanaokota chochote wanachofikiri kitawasaidia, mtu anakuja na story za kubuni kudanganya watu wazima eti wasukuma wakisema "NDO SHIDA" kwa kiswahili HAKUNA TATIZO--- 'NDO SHIDA' hicho ni kisukuma gani upuuzi mtupu. Wanachotakiwa CCM wajipange vizuri lakini wakitegemea siasa uchwara kama hizi watakuwa wanajidanganya na si ajabu kwenye uchaguzi huu wakaangukia pua.

Mie sio MwanaCCM please!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nachokijua ndicho ninachokisema whether you dont like it or no.Pole naona unanichekesha bahada ya kuwasaidia CHADEMA WAJUE SILAHA gani wanaingia nazo vitani kusaka sungura mnawapotosha kuwa sungura yupo ni wa kukamata na kuludi nae home.Thubutu kama chadema wanakumbuka uchaguzi wa KWIMBA please hao ndio Wasukuma.

Chadema kama wanajipenda nikutumia muda huu wa kipindi cha uchaguzi mdogo kuleta mwamko wa kisiasa na kuondoa wingu la upofu.
 
Kulingana na picha hiyo hapo juu,utajua ni kwanini nasema IGUNGA bado ni jimbo la CCM asilimia Mia 100%.Kwa kuwa ni uamuzi wa Rostam kuwaambia tu mpeni fulani wao watampitisha.Zitapungua kura kiasi kidogo sana kama Rostam hatashiriki kupiga kampeni,Ila bado CCM watashinda japo si kwa kishindo.Lakini kukiwa na ushiriki wake kutakuwa na ushindi wa kishindo.Chadema waende huko lengo kuu likiwa ni kwenda kutumia nafasi hiyo kuleta mwamko kwa jamii hiyo.Waangalie zaidi faida za itikadi ya kisiasa [Political Ideology Mileage] ili wajiandae wasivunjike moyo kwa kuwa hiyo sio ngome yao, na Ngome ya CDM ni ya watu walio na uthubutu [Aggressive].Hivyo si vibaya kwenda na dhamila ya uthubutu kwa nia ya kueleimisha na kuibua chemchem za mawazo mapya na kuwasidia kizazi kipya cha mazingira hayo kufunguka kisiasa na kiutawala.
Wewe huwajui wasukuma na hujui mila za wasukuma na wanyamwezi unafanya kuambiwa tu YAYA NDO ndio kitu gani hakuna kitu kama hicho, hayo yote uliyoandika unajiridhisha tu na CCM wakiyatumia wataumia, msukuma ukishamuudhi kumbadilisha inakuwa kazi akishasema 'Nalemaga getegete' basi ndiyo imetoka,

CCM imewaudhi wana Igunga imewatolea kipenzi chao(sisemi RA alikuwa mzuri) uliona walivyogaragara, watu wa aina hiyo hasa wasukuma baada ya siku mbili uende kujipendekeza watakutoa baruti, kinachotakiwa si kujiridhisha kwa maneno kama yako eti watashinda kwa asilimia 100, ni kwa makada wa CCM tena wenye ushawishi (ikiwezekana wampigie magoti RA) kwenda kuwaambia ukweli na kuwaelimisha kwa nini wamemtoa mbunge wao lakini kama CCM wanataka kulipoteza jimbo wafuate ushauri wako wa historia.
 
mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya eti anaenda kuitisha press kwa mambo ya issue nyingine, lakini kwa nini cdm mnagombania umaarufu na mnabaniana hivyo? siku moja jamaa aliniambia kuwa yeye hana mshahara kwa hiyo ni lazima cdm imuone na ikubali ziara alizozipanga ili apate nafuu ya life. ..lakini kamati kuu ikapiga chini mipango yake hiyo ya kutaka kulamba miposho hahahaa eti bajeti yake ilikua million 30 kwa mikoa 8 hahaaa! cdm bwana!!

Duh ha ha haaa, you should rebuke the rumour mongering spirit in you.keep your lips and typing fingers off 0ther people's issue and deal with yours!!!!

On a Serious Note: Gazeti la Tazama ni gazeti ambalo of late limeonyesha kumpamba Lowasa,na kama mnavyojua Gazeti hilo lina mkakati wa kujenga phobia na kuipunguza kasi CCM dhidi ya watuhumiwa wao RACHEL.

Gazeti hilo linataka kumjenga Lowasaa kwa udi na uvumba dhidi ya akina Membe, Sitta,Magufuli na dhidi ya wagombea potential ambao ni threat kwa Lowassa kama akina Dr.Wilbroad Peter Slaa na Zitto Zuberi Kabwe.

Hilo Gazeti liko kazini kwa ajiuli ya kujenga vita ya kisaikolojia,hilo Gazeti lina mkwelekeo wa kuendelea kumjenga Rostam Aziz na Edward Lowasa kwa nguvu zote. Subirini toleo lijalo na mengine yatakayofuata!
 
Mie sio MwanaCCM please!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nachokijua ndicho ninachokisema whether you dont like it or no.Pole naona unanichekesha bahada ya kuwasaidia CHADEMA WAJUE SILAHA gani wanaingia nazo vitani kusaka sungura mnawapotosha kuwa sungura yupo ni wa kukamata na kuludi nae home.Thubutu kama chadema wanakumbuka uchaguzi wa KWIMBA please hao ndio Wasukuma.

Chadema kama wanajipenda nikutumia muda huu wa kipindi cha uchaguzi mdogo kuleta mwamko wa kisiasa na kuondoa wingu la upofu.
Wewe endelea kujenga hoja usianze kulazimisha hoja, tunazungumzia mada yako ya historia ya wasukuma na wanyamwezi ambayo naona huijui, na kama unafikiri mwamko wa wasukuma ni mdogo rejea uchaguzi uliopita ndio utajua msukuma ni mtu wa aina gani ni mkimya lakini akisema NO ni NO kweli kweli hata wewe umekiri CCM walivyoshindwa kumtoa Cheyo.
 
Your not serious, Tazama ni gazeti la Rostam Aziz, so kuna conflict of interest katika habari uliyosoma.
 
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!

Safi sana wana Igunga. hivi kwanini wasiwapige mawe kama wanavyofanya watu wa Tarimee. hahahhahahahahahahaaha. Chadema mnadhani kila mahali panaingilika tu. chezea pengine sio Igunga.

Atashinda mbunge anayemtaka Rostam.
 
Back
Top Bottom