Recent content by uduzungwa

  1. uduzungwa

    Must see Movies

    Hiyo series ina series 8 ni kali sana. Hakikisha unaimaliza. Its a best of the best series kwa upande wa ujasusi kati ya USSR na USA BR Uduzungwa
  2. uduzungwa

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Vits its the of the best. Especial iwe ya 2002 na iwe 990cc. BR Uduzungwa
  3. uduzungwa

    Mchezaiji Jonas Mkude awasili Hoteli ya Serena Kuitikia wito wa Kamati ya Nidhamu

    Dah. Huo utovu wa nidhamu sasa umekuwa mkubwa sana Br Uduzungwa
  4. uduzungwa

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Tunawezà vunja gari kwa gari
  5. uduzungwa

    Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

    Yani. Katika mtandao wa gharama hapa Tanzania. Nadhani voda wanaongoza sana. Hivi wanatuchukuliaje sisi wa Tz Jinga sanaa Br Uduzungwa
  6. uduzungwa

    JamiiForums Usiku wa manane

    RIP anko Ben[emoji120][emoji120][emoji120]
  7. uduzungwa

    Jinsi ya Kuondoa weusi katikati ya mapaja na kwapa

    Ninao mmoja kwenye picha niupost kwaajili ya maelezo zaidi.
  8. uduzungwa

    Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    Ngoja nikitulia niifanyie kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. uduzungwa

    Ripoti ya WB: Zaidi ya $3B Kenya zimeibiwa na viongozi ndani ya kipindi cha miaka 20

    Kuna kaneno alisemaga Trump kuhusu Africa. Bado nalitafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  10. uduzungwa

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Thank sana mkuu. Nimekuelewa sana aisee. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. uduzungwa

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Huyo mphamasia anatakiwa alipwe mwisho wa mwezi. Tuseme 1m Efd mashine laki4 Cheti cha dispensary??? Ngoja nione itakuaje huko mbele Nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
  12. uduzungwa

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Asante sana bosi Nimekuelewa sana mkuu Ubarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. uduzungwa

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Nashukuru sana kwa ushauri. Ila mzigo sio lazima ninunue mwingi sana. Naweza nunua mzigo wa 6m kwa kuanzia 6m nikalipa kodi 3m mambo ya ukarabati Afu inabaki 5m. Hapo vipi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom