Mchezaiji Jonas Mkude awasili Hoteli ya Serena Kuitikia wito wa Kamati ya Nidhamu

Mkuu,wakati mwingine kunyamaza ni bora kuliko kuja na hoja ya mtu asiye na shule kiasi hiki.Hilo neno kutokuwa na nidhamu ndio neno sahihi kulitangaza public.Mengine waachie viongozi.
Kwanini walituambia mtovu wa nidhamu? Si wangekausha tu
 
Mkuu,wakati mwingine kunyamaza ni bora kuliko kuja na hoja ya mtu asiye na shule kiasi hiki.Hilo neno kutokuwa na nidhamu ndio neno sahihi kulitangaza public.Mengine waachie viongozi.
Waafrika tuna upumbavu mwingi mno, tunaficha ficha nini? John terry alipita na mke wa mchezaji mwingine mbona iliwekwa wazi? Mbona walichofanya wakina benzema iliwekwa wazi sisi huku afrika ndio tuna unafiki sana
 
wewe uambiwe kama nani
 
Mkuu,wakati mwingine kunyamaza ni bora kuliko kuja na hoja ya mtu asiye na shule kiasi hiki.Hilo neno kutokuwa na nidhamu ndio neno sahihi kulitangaza public.Mengine waachie viongozi.
Aliwapiga wenzie vidole hilo mbona linajulikana
 
Waafrika tuna upumbavu mwingi mno, tunaficha ficha nini? John terry alipita na mke wa mchezaji mwingine mbona iliwekwa wazi? Mbona walichofanya wakina benzema iliwekwa wazi sisi huku afrika ndio tuna unafiki sana
Alitongoaza ile ya barabara gongolamboto kuelekew kwa akina mudi mnyaturu
 
ametozwa faini ya 2m. leo anarejea tizi
Safi sana, ajira ya Mkude ni kucheza mpira. Kumfungia kucheza mpira ni sawa na kumfukuza kazi na kuharibu kipaji. Ni maamuzi mazuri japo mil.2 kwa mshahara wake tena kulipa ndani ya mwezi mmoja labda Okw Boban Sunzu asaidie kumlipia nusu.
 
Kwanini klabu haiweki wazi amefanya kosa gani hasa?
KOSA LA KWANZA: Kutohudhuria semina elekezi iliyohusisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Adhabu yake ni faini ya shilingi milioni moja (1,000,000).
KOSA LA PILI: Kuchelewa kuingia kambini wakati timu ilipokuwa ikijiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union. Adhabu aliyopewa ni karipio kali na faini ya shilingi milioni moja (1,000,000) pamoja na kuwekwa katika kipindi cha uangalizi cha miezi sita.
KOSA LA TATU: Kutoripoti kambini siku ya 26/12/2020 bila ruhusa. Katika tuhuma hizi, kamati haikumkuta na hatia baada ya kamati kutothibitisha pasipo shaka shitaka hilo.
MAAGIZO
Kamati imemtaka Mkude kurejea kambini mara moja kuendelea na mazoezi na asipofanya hivyo atakuwa amefanya tena kosa la utovu wa nidhamu.
Faini aliyotozwa anatakiwa kuilipa ndanI ya mwezi mmoja.
Kamati imemtaka Mkude kuomba radhi kwa maandishi ndani ya saa 24.
 
Back
Top Bottom