Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

Kwangu haipo hiko kifurushi. Nikienda kwenye namba 2 nakuta vifurushi vya ovyo tu. ila nikiingia kwenye UNI offer kuna kifurushi cha 1,500/= gb 1 na dakika kwa siku 7View attachment 1564875View attachment 1564887
Pole basi nadhani kila mteja atakuwa anapewa ofa yake kulingana na matumizi ya internet.
Hata hiyo wanayokupa ni nzuri ila kwangu hainifai maana natumia sana internet kuliko huo muda wa maongezi wanaonipg.b moja kwa siku hainitoshi kabisa
 
Hii niliichukua humu humu,kwa Tsh 3,000/= unapata 2GB kwa week sometime haifiki though inategemea matumizi yako.

Hawa kinawapa jeuri internet speed yao otherwise hamna kitu.
Screenshot_2020-08-07-09-43-28-642_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu bado hawajapunguzaView attachment 1564854
Nadhani mwamba hajapitia option hii,vifurushi vyao vingi wanavyohisi vitamnufaisha mteja huwa wanavificha ficha mpaka uwe mtu wa kuchunguza chunguza sana ndo utakutana navyo.ni kama CCM tu,inawaambia wananchi tumejenga barabara but hawasemi barabara tumejenga kwa kodi zenu mnazolipa.

Ujanja ujanja kila mahali nchi hii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu halotel mkuu....5000 unapata gb 7 kwa week kwa line ya chuo lakini.
Halotel ilikuwa vizuri mwanzo saizi ni mwendo wa kuchumagila tu kwa sasa ndio mtandao hafifu kuliko yote kwa upande wa Internet japo ma MB mengi

Bora halotel wapunguze tu maana haina umuhimu kuwa na MB nyingi
ambazo hazina faida

Unaunganisha kifurushi cha mwezi
cha 10gb ila mpaka mwezi unaisha zimetumika 500MB
sasa hii si hasara jamani [emoji17][emoji17]
 
Ni mitandao yote tu wamepandisha gharama kimya kimya mb hazikai hata lisaa limoja ukijiunga mb nyingi. Hii mitandao inatunyonya customers wake na serikali seems inabariki hii hali
 
Halotel ilikuwa vizuri mwanzo saizi ni mwendo wa kuchumagila tu kwa sasa ndio mtandao hafifu kuliko yote kwa upande wa Internet japo ma MB mengi

Bora halotel wapunguze tu maana haina umuhimu kuwa na MB nyingi
ambazo hazina faida

Unaunganisha kifurushi cha mwezi
cha 10gb ila mpaka mwezi unaisha zimetumika 500MB
sasa hii si hasara jamani [emoji17][emoji17]
Halotel ni mbovu sehemu ulipo wewe mkuu.
 
Kwa unafuu huu mkuu nikiisoma saikolojia yako katikati ya sentence yako hii nakuona kabisa ukiamini halotel ndo mtandao bora zaidi ila ungetumia Voda hata kwa ½saa ungewaona Halotel sijui kama kitu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa vodacom wapo vizuri sana kuliko mitandao yote kwenye kasi ya data ila shida yao gharama zipo juu sana kuliko wanachotupatia...Ni kheri tujifiche huku kwa wengine ambapo kazi zako pia zinafanyika kwa wakati na gharama ikiwa chini.
 
Halotel ilikuwa vizuri mwanzo saizi ni mwendo wa kuchumagila tu kwa sasa ndio mtandao hafifu kuliko yote kwa upande wa Internet japo ma MB mengi

Bora halotel wapunguze tu maana haina umuhimu kuwa na MB nyingi
ambazo hazina faida

Unaunganisha kifurushi cha mwezi
cha 10gb ila mpaka mwezi unaisha zimetumika 500MB
sasa hii si hasara jamani [emoji17][emoji17]
Inategemea na sehemu ulipo ..mm speed iko bomba naperuz bila shida.
 
Hata kwa laini isiyo ya chuo. Ofa hio ipo halopesa
Kumbe!! Basi wamebadilisha juzi juzi tu maana nakumbuka mwezi ulopita Kuna jamaa angu alikua anataka ajiunge Kama mm navojiunga 5000 gb7/ week ikakataa coz line yake ilikua sio ya chuo.
 
Pesa ya uchaguzi inatafutwa...ccm wana share ujue

Pia yaweza kuwa mbinu ya kufanya watu wasisikilize sera za Lissu ambaye amesema wao utumia sana whatsapp kualika watu kwa mikutano yao ya kampeni.
 
Yani.
Katika mtandao wa gharama hapa Tanzania. Nadhani voda wanaongoza sana.
Hivi wanatuchukuliaje sisi wa Tz
Jinga sanaa
Br
Uduzungwa
 
Back
Top Bottom