Recent content by Tuyuku

  1. Tuyuku

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Watu wengi hawana shukrani na ni wanyenyekevu tu wakiwa na shida. Inaumiza mbaya aisee lakini wewe kausha na kuna siku atakuja kwenye 18 zako.
  2. Tuyuku

    Kulikuwa na uhalali gani kwa Chief Mkwawa kutambulika kama 'Shujaa?

    Walioandika historia ni Wajerumani, na wao ndiyo waliosema alijiua.
  3. Tuyuku

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Scandinavia walitumia majengo ya KAMATA.
  4. Tuyuku

    Alama ya Pundamilia iliyopo Sao Hill, ni kwa matumizi gani?

    Kipande cha Mafinga hadi Igawa kina alama zinazokera sana
  5. Tuyuku

    Sababu ya ndege yetu kushikiliwa Afrika Kusini

    Deni halikuwa la mzee wa msoga...la yule aliyemtangulia
  6. Tuyuku

    Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    Yaani umetoka safari yote kuanzia mwanza unakuja kuzingulia dar..
  7. Tuyuku

    Mabinti walioweka sauti kwenye nyimbo za Nyambizi na Sharifa za Duly Sykes ni wakina nani?

    Inaelekea huyu binti alikuwa mchango mkubwa wakati mziki wa Bongo unakua
  8. Tuyuku

    Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

    Kuanguka maishani siyo tatizo ila tatizo huja ukianguka na kuogopa kuinuka tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Tuyuku

    CIA walimtaka Chifu Thomas Mariale, Fabian Society walimtaka Chifu Kidaha, Jesuit wakamtaka Julius Nyerere

    Nimejifunza kitu hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Tuyuku

    Nataka kutoka kwenye hii aibu

    Pole sana aisee. Nashauri utulize kwanza kichwa. Chukua hata likizo uende mahali ukapumzike utulize kwanza akili yako. Uyo jamaa hakufai kabisa
  11. Tuyuku

    Naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu safari ya kwenda Zimbabwe, nataka kwenda kwa basi la takwa

    Mwanangu umeenda longi kumbe. Siku izi ndinga za abiria hazitembei usiku Zambia. Ni kuondoka asbh
  12. Tuyuku

    Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

    Umesema ukweli mtupu. Watu wanachukua stori za vijiweni wanazifanya rasmi. Lucky Dube hakumwua Senzo. Senzo yupo hai
  13. Tuyuku

    Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

    We jamaa uliwalisha watu matango pori. Senzo yupo hai wewe.
Back
Top Bottom