njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
Uthubutu wake kusema ukweli japo alijua angehatarisha usalama wake,aliwaanika vyombo vya usalama kwa kumshawishi ili aachiwe wamuitie press aseme uongo kuwa alitumwa na Mbowe,akakataa kumsingizia mtu uongo!Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Uthubutu wake kusema ukweli japo alijua angehatarisha usalama wake,aliwaanika vyombo vya usalama kwa kumshawishi ili aachiwe wamuitie press aseme uongo kuwa alitumwa na Mbowe,akakataa kumsingizia mtu uongo!Huyu ni Shujaa Wa nini
Anatakiwa alambe “DISCONTINUATION” huyu dogo liwe fundishoMtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake
----
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, hatimaye amesema kuwa ameruhusiwa kurudi kuendelea na masomo yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Januari 4, mwaka huu.
Nondo ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya udanganyifu, alishinda kesi hiyo iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Akithibitisha kurudi kwa Nondo chuoni, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma), Profesa Bonaventure Rutinwa alisema anatakiwa kurudi shule na taratibu zote zilishakamilika licha ya kwamba aliwaachia walimu wengine katika ofisi ya taaluma.
“Tayari kweli tulipokea barua yake na mimi niko likizo anatakiwa kuanza chuo afike ofisini maagizo yote niliacha kwa msaidizi wangu Rose Ufoo,” alisema Profesa Rutinwa kwa njia ya simu akiwa Bukoba mkoani Kagera.
Kwa mujibu wa Nondo mara baada ya hukumu ya Mahakama ya Iringa kutoka na kumkuta hana hatia alitakiwa kurejea shule kwa ajili ya kumalizia muhula wake wa masomo ya mwaka wa tatu.
Akizungumza na MTANZANIA jana alisema baada ya kuonekana hana hatia wakili wake Jebra Kambole, alifanya mchakato wa kuandika barua kwenda kwa Makamu Mkuu wa Chuo, akiambatanisha na nakala ya hukumu.
“Baada ya kuandika barua hiyo niliendelea kufuatilia majibu ila ikawa bado ipo inafanyiwa kazi. Ikipita kwa Naibu Makamu wa Elimu (DVC-Academic) hadi kwa mkuu wa Idara ya Masomo ya Shahada, baadaye ikaenda kwa Mwanasheria wa Chuo kwa muda wote takribani wiki tatu naambiwa inafanyiwa kazi,” alisema alieleza Nondo .
Alisema baadaye walijibiwa kuwa nakala ya hukumu aliyopeleka chuoni hapo haikuwa ya halali ilikuwa sio halisi (Original) hivyo hawakuweza kuiamini kama imetolewa na mahakama ama laa.
“Baadaye nilikwenda tena Iringa kuichukua hukumu Original kwa Wakili wangu Chance Luoga , akanipa hukumu yenye muhuri wa mahakama , hivyo nikaileta wakili wangu Kambole ikabidi aiandikie barua tena akiambatanisha na hiyo hukumu na kuipeleka chuoni,” alisema.
Aliendelea kueleza kuwa baada ya kuipeleka alifuatilia majibu lakini akaambiwa bado inafanyiwa kazi .
Chanzo: Mtanzania
Maneno ya kipunga haya na Nina uhakika una kifurushi nyuma kama cha bashiteKwendraa.
Fundisho kwa mang'ombe coward's kama wewe I'd fake userAnatakiwa alambe “DISCONTINUATION” huyu dogo liwe fundisho
Lamba supp kibao tapeli kijana,
Mtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake
----
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, hatimaye amesema kuwa ameruhusiwa kurudi kuendelea na masomo yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Januari 4, mwaka huu.
Nondo ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya udanganyifu, alishinda kesi hiyo iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Akithibitisha kurudi kwa Nondo chuoni, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma), Profesa Bonaventure Rutinwa alisema anatakiwa kurudi shule na taratibu zote zilishakamilika licha ya kwamba aliwaachia walimu wengine katika ofisi ya taaluma.
“Tayari kweli tulipokea barua yake na mimi niko likizo anatakiwa kuanza chuo afike ofisini maagizo yote niliacha kwa msaidizi wangu Rose Ufoo,” alisema Profesa Rutinwa kwa njia ya simu akiwa Bukoba mkoani Kagera.
Kwa mujibu wa Nondo mara baada ya hukumu ya Mahakama ya Iringa kutoka na kumkuta hana hatia alitakiwa kurejea shule kwa ajili ya kumalizia muhula wake wa masomo ya mwaka wa tatu.
Akizungumza na MTANZANIA jana alisema baada ya kuonekana hana hatia wakili wake Jebra Kambole, alifanya mchakato wa kuandika barua kwenda kwa Makamu Mkuu wa Chuo, akiambatanisha na nakala ya hukumu.
“Baada ya kuandika barua hiyo niliendelea kufuatilia majibu ila ikawa bado ipo inafanyiwa kazi. Ikipita kwa Naibu Makamu wa Elimu (DVC-Academic) hadi kwa mkuu wa Idara ya Masomo ya Shahada, baadaye ikaenda kwa Mwanasheria wa Chuo kwa muda wote takribani wiki tatu naambiwa inafanyiwa kazi,” alisema alieleza Nondo .
Alisema baadaye walijibiwa kuwa nakala ya hukumu aliyopeleka chuoni hapo haikuwa ya halali ilikuwa sio halisi (Original) hivyo hawakuweza kuiamini kama imetolewa na mahakama ama laa.
“Baadaye nilikwenda tena Iringa kuichukua hukumu Original kwa Wakili wangu Chance Luoga , akanipa hukumu yenye muhuri wa mahakama , hivyo nikaileta wakili wangu Kambole ikabidi aiandikie barua tena akiambatanisha na hiyo hukumu na kuipeleka chuoni,” alisema.
Aliendelea kueleza kuwa baada ya kuipeleka alifuatilia majibu lakini akaambiwa bado inafanyiwa kazi .
Chanzo: Mtanzania
Ni jambo Jema sana kwa kijana huyu kurudi chuo kumalizia masomo yakeMtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake

Mpiga ngeta maarufu...Lukuvi alifaa awe nyuma ya Nondo muda huu kwa lile saga.
Waziri kupora fuko la hela la raia ni hatari sana !Mpiga ngeta maarufu...
Ww vipi unajitoa?Vijana wote Tz wangekuwa kama huyu!!!?wangefanya mageuzi makubwa sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyu unavyomuona ana uelewa wa siasa aina ya Sitta? Huyu si aliona nyufa za jengo! Hiyo nayo ni siasa?Samwel Sitta aliwahi kufukuzwa chuo mwaka 1966 baada ya kupinga mpango wa Nyerere wa kuwapeleka JKT wasomi , lakini mwisho wa siku akaja kuwa spika wa Bunge la Tanzania
Hata hao akina Sitta huko zamani walionekana wapuuzi tu , lakini baadaye tukaja kuwaona mashujaaKwani huyu unavyomuona ana uelewa wa siasa aina ya Sitta? Huyu si aliona nyufa za jengo! Hiyo nayo ni siasa?
Kuna baadhi ya vijana mutawaponza. Ukianza kumtangaza kama mwenye uelewa, naye atajiona ana uelewa lakini mwisho wa yote tunataka awe nai academic material siyo shujaa wa kuona nyufa.
Kuanguka maishani siyo tatizo ila tatizo huja ukianguka na kuogopa kuinuka tena.Samwel Sitta aliwahi kufukuzwa chuo mwaka 1966 baada ya kupinga mpango wa Nyerere wa kuwapeleka JKT wasomi , lakini mwisho wa siku akaja kuwa spika wa Bunge la Tanzania
Akina nani mtakaomchangia, jitajeni siyo kuleta porojo hapa.Hata wakimfelisha. Tutamchangia aende ulaya!
Badili Avatar yako mkuu inaingilia haki za watoto @ mjasiri na mali
Magonjwa Mtambuka ana kasoro nyingi tu, wala siko naye hata kidogo, ila kuhusu avatar, nakushauri ubadili ya kwako kwanza ili upate nguvu ta kumbadilisha jamaa!!
Kwani nondo amepingana vipi na serikali? Au ni mahaba yamepitiliza hujui hata unachokiandika?Kwao Shujaa ni yoyote yule anayepingana na serikali for any reason whatsoever. Ila wao wanajificha humu tu hawatoki mbele hata siku moja