Sana tu mkuu.
Assume unamuondoa mzungu na kila kitu chake leo hii what is going to happen.
Yaani ondoa Madawa, vifaa vya hospitali, ndege, magari, simu, home applience, umeme, petrolium n.k
Inaumiza sana kuona tooth pick ni imported product😭😭😭 alafu tuendelee kujidanganya kwamba hawajatuzidi akili.