Si kweli mzungu ana akili kuliko mtu mweusi

Joined
Apr 13, 2019
Messages
63
Points
125
Joined Apr 13, 2019
63 125
Hivi kwa nn watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko ww unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.

Nahisi hawa ndo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.

Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko(wazungu).

Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why. Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nn.

Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuta Absoluta

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
267
Points
1,000

Tuta Absoluta

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
267 1,000
Acha tujipe moyo ila ukweli upo wazi wametuzidi.
Nikipata mtoto siitaji kumwambia mzungu katuzidi yeye mwenyewe tu ataona na atajua ukweli bila hata kuambiwa.
At micro level (ukijifananisha na mtu momoja mmoja inawezekana ukukutana na mzungu uliemzidi) ila at macro level (kwa ujumla) hawa jamaa wametuzidi mbali sana hili halina ubishi.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
11,843
Points
2,000

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
11,843 2,000
Kukubaliana na ukweli ni moja ya hatua kubwa kuelekea mabadiliko.

Wazungu wako mbali, tukubali ili tuone tunatokaje hapa. Kuishi kinafsi hakutusaidii.

Unafiki na Utamaduni Wetu ( Mostly ) ndio vinaturudisha nyuma
 
Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
2,881
Points
2,000

Kambaku

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
2,881 2,000
We jamaa hebu funga macho hapo alafu fikiria wazungu wanaunda ndege kubwa (Airbus A380), fikiria aliyegundua computer na mtandao hadi sisi tunawasiliana hivi JFna mengine ya mzungu alafu fikiria sisi tunatekana wasiojulikana, sisi tukichaguliwa uongozi unazuia wenzako marufuku kufanya siasa wakati wewe unafanya, sisi kuna kiongozi analipwa mshahara fresh kabisa alafu katika idara yake watoto wanakaa chini darasani, kuna kiongozi anapigwa risasi akitoka kazini bungeni alafu nchii kama nchi wanasema hakuna kufanya uchunguzi wa kina. We jamaa hebu fikiria alafu uandike upya uzi wako
 
victory02

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Messages
260
Points
500

victory02

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2015
260 500
Hivi kwa nn watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko ww unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.

Nahisi hawa ndo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.

Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko(wazungu).

Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why. Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nn.

Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mbona hilo liko wazi kabisa,nguo zenyewe unazovaa ni product ya ngozi nyeupe
 
KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
8,447
Points
2,000

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
8,447 2,000
Umekuja kulifedhehesha jukwaa! Inaonekana hata ile mada haukuielewa!
Tunamuangalia mzungu na muafrika ktk mtizamo wa akili.. na akili inapimwa kwa matokeo.
Unahitaji nini kuona wanzungu wako juu kiakili kushinda sisi..? Angalia vitu wanavyofanya pima na sisi utaona matokeo! Hata kwa asilimia nyingi tumerithi vitu vingi tokea kwao technology, money economy,kilimo Cha kisasa,maswala ya afya, uongozi n.k
Sio kwamba waafrika hatuwezi ila kiwango chetu cha akili kinaonekana kipo chini ukilinganisha na wazungu,huo ndio ukweli na si utumwa.. hayo ma standing gauge,umeme yaliletwa na uchawi wa kiafrika..?
Hiyo mizimu ya mababu imefanya nini cha maana kukufanikisha ktk uchumi, kisiasa na kijamii..?

Umekuja kuthibitisha kuwa wazungu wanatuzidi kweli akili maana hata ukweli unaonekana unaupinga!
 
Forum statistics

Threads 1,382,368
Members 526,359
Posts 33,825,745
Top