Recent content by Turutumbib

  1. T

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Jamani bandugu yamenipita mengi lakini naomba chonde nami mniunge na group la whatsapp namba yangu 0715430708
  2. T

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Dah hili jipya mh salute, binadamu wote tungekuwa hivi hasa vijana tunaoangaika mtaani naamini hata serikali ingetambua thamani na uwepo wa vijana ktk taifa hili. Asante sana mh. Ubarikiwe sana na hayo yote yatimie.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwaname yupi anayemjali mwenzie sana kwenye mahusiano?

    G'taxi nimekusoma mzazi uko vzr!!!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Magu amesema yy ndiye rais wa tanz na ndiye anaeamua nn afanye nan akae WAP na kasema mwenye kulia alie mwenye kujinyonga ajinyonge, rais ni yy na wakati anaenda kuchukua fom hakuna aliyemshauri wa kumsindikiza so anafanya madudu yote haya eti kwa sababu yeye ndiye final say wa nchi hii. Magu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndo mwisho wa Uhakiki

    Kiukweli awamu hii bora hata kuongozwa na ng'ombe
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Kama unajiamini kuwa haufanyi maovu kwann umkataze mpenzi wako kushika sm yako?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu taliyotolewa Jana hakuna wenye diploma entry chuo kikuu wametelekezwa

    Hilo jambo mbona sjaliona? Mkuu WAP hiyo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya UALIMU Sayansi na Hisabati

    Hii serikali ni ya masifa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya UALIMU Sayansi na Hisabati

    Mtaule ajira zipi hizo zilizotayari
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya UALIMU Sayansi na Hisabati

    Kiukweli sioni hata haja ya kupoteza muda wangu mwng takribani miaka 20 ya kusoma halaf serikali ndo hii kila siku kalenda na ahadi za kipumbavu kiasi kwamb hawakumbuki nao bila ajira hizo wengine wasingekuwa marais,mawaziri n.k. mi nina shahada ya elimu ( mathematics) natafuta shule ya private...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naelekea kuamini sasa kuwa ajira hazipo kabisa

    Hydrazin unatakiwa kuwa mfano humu jf kwa kutoa ushauri weny busara hakika hekima yako nimeiona, heshima kwako ndugu!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi vilaza tutasoma chuo kikuu kweli?

    Kweli huu usomi wetu watanzania sijui unatusaidiaje MTU umesoma umepata credit inayokufaa alafu unajiita kilaza manake hujiamini na elimu uliyonayo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi CWT acheni uoga.

    Wakuu huu uoga wa watanzania ndio unaotunyima hata haki zetu sio cwt tu tatizo jingine linakuja pale watu wanapopeana vyeo wengi wao wanashindwa kukoroma kwa Kuogopa waajiri wao.
Back
Top Bottom