Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Mtumishi wa umma yeyote ambaye hakuwasilisha cheti chake au namba ya mtihani kufikia Machi 30, 2017 atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe.
1. Je Bashite amefikwa?
2. Ajira zilisitishwa kwa ajili ya uhakiki na uhakiki ndo umekamilika, je kuanzia kesho watatuambia nini?
3. Serikali itakubali kuweka wazi sababu za usitishaji wa ajira badala ya kusingizia uhakiki. (Kama watanzania wote wanaandikishwa kwa mwezi mmoja kwa ajili ya upigaji wa kura inakuwaje uhakiki wa watumishi ambao hata hawafikii 30% ya watanzania wote unachukua mwaka mzima?