Majina ya walimu taliyotolewa Jana hakuna wenye diploma entry chuo kikuu wametelekezwa

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Ndg zangu habari za Leo

Nimeyaona majina ya walimu watakaoajiliwa hivi punde na serikali wa sayansi na hisabati lakini cha kusikitisha kuna watu waliingia chuo kwa indirect entry yaani DIPLOMA lakini majina yao wote yametupwa ila waliotajwa ni waliotoka form six tu na kwenda chuo hii ina maana gani kwa watanzania??

Mwenye uelewa tunaomba atujuze tafadhari.
 
Mtu anayepita Diploma via Degree wengi wanakuwa walishindwa form 4 (Div Four) sorry
Mtu anayepitia six to Degree hawa wamekomaa sana maana kama Hisabati kapiga form 4,amepiga form six na Amegusia chuo
Unachotakiwa kujua Chuo unafundishwa mbinu za kufundisha
 
ulipiloambiwa utaisoma namBa ulielewA nn kwani??! unajua watz ifikie mahAli tuwe tunajitambua... wanavyuo ndo watu walioongooza vita dhid ya ccm mkawabeza sasa ngoja nambA isomeke
 
Alafu wavumilie bado watawahitaji tu....wanatangulia wale walionyosha moja kwa moja alafu hao wengine wanafuata......japo diploma wengine wanakuwaga wazuri maana anasomea ualimu ngazi ya cheti...diploma...degree.....hamtaachwa subirini mambo, alafu mmeambiwa msiombe tena ktk tangazo lililotolewa Jana...hebu vumilieni watawawekeni na mtafurahi!!
 
ulipiloambiwa utaisoma namBa ulielewA nn kwani??! unajua watz ifikie mahAli tuwe tunajitambua... wanavyuo ndo watu walioongooza vita dhid ya ccm mkawabeza sasa ngoja nambA isomeke
Unamaanisha tukiitoa CCM hakuna mtu atapata tatizo lolote nchi hii - ajira za kumwaga na kusaza bila usumbufu ?
 
Walio pita Diploma ni In Service kama ulisoma nao hawakiwa wenzako.Tayari wana TSD number sasa wewe unataka waajiliwe mara mbili?
 
Una uhakika maana kuna mtu kaingia diploma kasoma degree na kapat?au ndo waKimbizi nyie mmeleta machafuko
 
Back
Top Bottom