Viongozi CWT acheni uoga.

ndi ndi ndi sterling wetu mh. amemtisha adui pale cwt na adui anaonekana kukubali pich letu linazidi kuwa tamu
 
Asilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...
 
Viongozi CWT wana kadi za CCM, kwahiyo hawawezi kuharibu sifa zao kwa kuaandaa migomo, maana huko mbele wana maono ya kuja kugombea ubunge.
 
Wakuu huu uoga wa watanzania ndio unaotunyima hata haki zetu sio cwt tu tatizo jingine linakuja pale watu wanapopeana vyeo wengi wao wanashindwa kukoroma kwa Kuogopa waajiri wao.
 
Watanzania wote makunguru, kumbuka enzi za mita mia mbili, kila mtu alienda kulala, nani afe?! Haya hawa wa vyuo vikuu ndo waoga usipime...mtu kasaini kulipa mkopo asilimia 8 kakatwa asilimia 15 anachekelea tu au kuishia kupiga kelele mitandaoni!!
 
Hadi pale walimu wa Tanzania watakapoamua kuiga chama cha walimu wa Kenya ndipo watajikomboa

Hakuna mtu awezaye kugoma bila kuwa na uhakika wa kula maana walimu wengi mshahara wa mwezi unaisha tarehe 7 sasa nani agome wakati hana hata sh elfu moja? .

Wengi wao Bashite style
 
Plus ana mkopo bank...
 
Back
Top Bottom