Nyamemba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 845
- 447
Serikali kupitia wizara ya Elimu inautangazia umma wa watanzania nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo ya sayansi na hisabati waliomaliza 2014/2015 na kurudi nyuma. Tangazo la serikali limewekwa kwenye tovuti ya wizara www.moevt.go.tz na kuwataka wenye sifa kutuma vyeti vyao vya elimu form 4,6 na vya kitaaluma Stashahada, shahada na Stashahada ya uzamili. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/3/2017