Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

Kutinginya86

Member
Nov 7, 2014
82
125
Mkuu kwema? Kanisa Katoliki Ni taasisi yenye Ueledi wa kutukuka.Ina Watu walioeledika ipasavyo Na Kwa mawanda yote.Ina Watu waliojikomeleza kwenye uwanja wa masuala ya Siasa,Uchumi, tekinolojia na kila nyanja ya maisha.Hata Utabibu wapo huko kweli kweli.Ndio Maana Uzi humu Jana uliwekwa ukiongelea mintarafu mambo ya imani juu ya utafiti wa Kisayansi uliofanywa Na Kanisa juu ya Ubovu wa Kondomu katika kudhibiti maambukizi ya VVU.Sasa suala la Siasa au Utawala Sio Dogma.Sio fundisho la kiimani.Na kama Sio fundisho la kiimani Sio Lazima Kanisa liiweke kama sehemu ya Litrujia.Kama umewahi kuona Na kusikia likionya Kwa njia Hii au ile Wakati wa uawala wa JK hiyo haizuii Kanisa kuonya Kwa staili nyingine.Tija Sio njia inayotumika Bali content husika.Wewe unajuaje labda Magufuli anaonywa kimya kimya? Suala Sio Wewe kusikia Serikali ikionywa Bali kama mwananchi unachohitaji Ni mabadiliko yenye Tija.Vile Vile Kanisa linahusika Na mambo ya msingi (issues). Yako mambo Ndio kiini cha uendeshaji utawala.Ukiyakosea hayo Maana yake umepoteza dira ya nchi.Na Hivi Kanisa Mara zote likisema linasemea Dira ya nchi.Suala la vyeti vya Makonda Sio issue na wala Sio Dira ya nchi!
QUOTE="assadsyria3, post: 20466233, member: 150590"]Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.
Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.
walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.

Tazama!!!!

Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.

Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?

Niwakumbushe!

suala la kutoajiri

suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni

ugumu WA maisha

fedha Za maafa bukoba

Uhuru WA kujieleza

Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.

kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.

mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?

je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?

let us think critically not like idiots

let us think big

Assadsyria3.
[/QUOTE]
Unasema suala la siasa sio Jambo la msingi kwa kanisa .....kauli yako inapendeza masikioni ila cha kushangaza ni kuwa siasa kinakuwa jambo la msingi kwa kanisa pale Presdar anapokuwa wa imani tofauti......ila akiwa from the same house ndio munakumbuka kuwa sio suala la msingi kwa kanisa......

Hata hivyo ni vyema kukumbuka kuwa Serikali haisimamii siasa peke yake bali inasimamia pia ustawi wa wana nchi kwenye afya, elimu, uchumi, nk na ukiangalia vitu alivyoviorordhesha Assadsyria3 kwenye Uzi wake vinagusa hayo maeneo kwa kiasi kikubwa....kwa hiyo ni vyema tuwe wa kweli tuache ushabiki.
Mkuu kwema? Kanisa Katoliki Ni taasisi yenye Ueledi wa kutukuka.Ina Watu walioeledika ipasavyo Na Kwa mawanda yote.Ina Watu waliojikomeleza kwenye uwanja wa masuala ya Siasa,Uchumi, tekinolojia na kila nyanja ya maisha.Hata Utabibu wapo huko kweli kweli.Ndio Maana Uzi humu Jana uliwekwa ukiongelea mintarafu mambo ya imani juu ya utafiti wa Kisayansi uliofanywa Na Kanisa juu ya Ubovu wa Kondomu katika kudhibiti maambukizi ya VVU.Sasa suala la Siasa au Utawala Sio Dogma.Sio fundisho la kiimani.Na kama Sio fundisho la kiimani Sio Lazima Kanisa liiweke kama sehemu ya Litrujia.Kama umewahi kuona Na kusikia likionya Kwa njia Hii au ile Wakati wa uawala wa JK hiyo haizuii Kanisa kuonya Kwa staili nyingine.Tija Sio njia inayotumika Bali content husika.Wewe unajuaje labda Magufuli anaonywa kimya kimya? Suala Sio Wewe kusikia Serikali ikionywa Bali kama mwananchi unachohitaji Ni mabadiliko yenye Tija.Vile Vile Kanisa linahusika Na mambo ya msingi (issues). Yako mambo Ndio kiini cha uendeshaji utawala.Ukiyakosea hayo Maana yake umepoteza dira ya nchi.Na Hivi Kanisa Mara zote likisema linasemea Dira ya nchi.Suala la vyeti vya Makonda Sio issue na wala Sio Dira ya nchi!
QUOTE="assadsyria3, post: 20466233, member: 150590"]Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.
Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.
walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.

Tazama!!!!

Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.

Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?

Niwakumbushe!

suala la kutoajiri

suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni

ugumu WA maisha

fedha Za maafa bukoba

Uhuru WA kujieleza

Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.

kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.

mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?

je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?

let us think critically not like idiots

let us think big

Assadsyria3.
[/QUOTE]
 
Kutinginya86

Member
Nov 7, 2014
82
125
WOGA kwa Malaika Mweusi umetamalaki....kama utachunguza vizuri hata Ghwajhimma alikuwa anarusha makombora magogoni indirect. Baadae anamuombea Mara anampiga tena. Hz Ni dalili za woga japo amethubutu.

Mwisho:- Aliyekaribu na BASHITE(0) ....Tunaomba amshawishi aseme kamaliza sekondari Mwaka gani na shue gani?,Mengine tutajua Tu.
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,831
2,000
Afadhali mashehe wanajitahidi kukosoa lakini hao full deep freezer
Mashehe wamekosoa lini!!? Wanajengewa makao makuu na Mkuu wa Mkoa, waanaletewa msikiti kutoka Morocco ............. halafu unategemea wakosoe!! Hata wenzao wa uamsho wamewasahau huko mahabusu!!

Huyu bwana naona anaogopwa sana ............ huwa naimagine iwapo akienda second term hali itakuwaje!!?
 
Kutinginya86

Member
Nov 7, 2014
82
125
Hivi wanachuo kikuu kingine zaidi ya Moro Muslim? Hebu msiliponde kanisa katolik, ndio dhehebu linaloongoza tz kwa kuwa mstar wa mbele kusaidia jamii. Wana hospital kubwa za rufaa, vyuo vikuu vingi tuu, shule za kushazi, maduka, hostel za kupangisha, vituo vya kusaidia yatima na wanaoishi mazingira magum, miradi ya maji, majengo ya biashara, na vingine...hebu nambie ni uislam gan unaowaza maendeleo zaid ya kuitana watu makafiri????? Hawa wanaenda na upepo wa mkulu wa nchi atakaekuwepo kuona anasapot kiasi gan kanisa katolik lisonge mbele zaid.
Yangu hayo......
Takbir!!!!!!
Usisahau kuwa kwenye hiyo miradi kuna ruzuku za serikali pia zinazotokana na kodi wa watu wa imani zote......
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
Maaskofu wanafanya kazi kwa nyaraka kama ilivyo kwa mkuu wa kanisa katoliki Suala LA waraka liko hata kabla ya kikwete uwe na weledi taf aidha ni ninyi watz mnaolalama Kwamba maaskof wanamix din na siasa na sasa mnataka wakafanye siasa hasa ninyi waislamu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Kutinginya86

Member
Nov 7, 2014
82
125
Mimi mkatolic pure, ila jamaa kaongea vyema na namuunga mkono. Viongoz wetu wako kmya kiac kwamba hawayaon yanayoendelea wakat awamu iliyopita walikuwa macho kana kwamba walikuwa na ugomvi na rais
Sio tu wako kimya bali wanashangilia. Ndio maana hivi majuzi Pope ametuma salama za pongezi kwa Juma Poor Maharage akimpongeza kwa kuondoa umasikini nchini. Yy amejuaje bila shaka ndizo taarifa anazopelekewa na wawakilishi wake.

Sijui kama walimueleza Pope kuwa wa kulima mwaka jana nyanya zao zililiwa na ngo'mbe.

Na kwamba wanaolia njaa wamepewa makavu kuwa Sirikari* haina shamba
 
Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,189
2,000
Mbona mtoa maada ametupa jiwe palipo na kidonda?.
Cha msingi sadaka zipunguzwe tuone watakula wapi
Kanisa katoliki kutegemea sadaka?! Unachekesha kweli.

Kwa mfano ukiambiwa kanisa katoliki ni tajiri kuliko serikali utaamini?
 
geometric

New Member
Apr 1, 2017
4
20
Acha uvivu wa kufikiri sio kila kitu ukiwazacho katika kichwa chako ukaona sahihi Fanya yakupasayo
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Naunga mkono hoja yako. Lakin sio wakatolik tu. Ni wakristo kwa ujumla wamefyata mikia, wamejawa na unafiki tu.
 
ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,130
2,000
Viongozi wa dini ni wanafiki nainavyonekana Mbinguni hawataenda wanawaza pesa nakuwaasi wana wa Mungu na hakuna mtu mbaya nchi hii kama kardinal Pengo nimuasi mkubwa.Ukiangalia viongozi wote wa Bakwata wote niwachumia tumbo.
 
hassankoba

Member
Mar 29, 2017
6
45
hizi dini sio makanisa sio misikiti ni upuuzi mtupu, sisi waafrika tulikua na dini zetu kabla ya ukoloni how can a slave and master worship the same god? wake up my fellow black men liberate your selves from slave mentality!
daah
 
Mpekuzi17

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
445
500
Hiyo kanisa katoliki walichochea sana migomo yawanafunzi wa vyuo vikuu kipindi cha JK kisa mikopo.......mbona sasa mikopo imepunguzwa mara2 lkn mko kimya.Thats why never to respect them, sycophants! !!!!!
wakati
Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.

Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.

walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.

Tazama!!!!

Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.

Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?

Niwakumbushe!

suala la kutoajiri

suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni

ugumu WA maisha

fedha Za maafa bukoba

Uhuru WA kujieleza

Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.

kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.

mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?

je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?

let us think critically not like idiots

let us think big

Assadsyria3.
Hawawezi kuongea chochote coz aliepo madarakani ni chaguo la mungu(kwa mujibu wao) na wanachotaka wanapata kupitia mlango wa nyuma, chaguzi zinazoendelea kwenye secta za umma kuanzia mawaziri mpaka chini angakuwa ni JK ndo raisi ungesikia hizo taasisi zinavyopiga kelele
 
isk

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
441
250
Mdudu huyo sio usitarabu tunajua maaskofu na mapadri hawawezi kusema kwakuwa huyo ni mtu wao kama alivyo kuwa pinda baada ya kumuondoa lowasa kwenye uwaziri wakamuweka pinda. Pinda aliboronga sana lakini hawakumsema usishangae kuona kabisa katoliki kupitia viongozi wao kukaa kimya ndio lengo lao
 
Turutumbib

Member
Feb 24, 2017
13
45
Magu amesema yy ndiye rais wa tanz na ndiye anaeamua nn afanye nan akae WAP na kasema mwenye kulia alie mwenye kujinyonga ajinyonge, rais ni yy na wakati anaenda kuchukua fom hakuna aliyemshauri wa kumsindikiza so anafanya madudu yote haya eti kwa sababu yeye ndiye final say wa nchi hii. Magu ni mfano wa mtu anaeonekana yuko nakshi machoni pa watu lakini ndani kwake hutamani hata kuvua viatu, maana angu ni. Magu anafanya mambo asifiwe na mataifa ilihali wananchi wake wanalia kila kona, hebu angalia nani mwenye furaha ktk nchi hii zaidi ya yeye na makonda. Kiukweli inauma saaanaaaa mtu unamaliza chuo tena mwl uliyefundishwa kufundisha then unaambiwa jiajiri, how? Ujiajiri na nn? You can't imagine ninavyochukia serikali ya awamu hii.
 
kirimirimi

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
287
250
Mid nadhani unejosea kidogo sio Manisa katoliki tuu viingozi wore Wa dini nchii hii ni wanafiki na mapandikizi wanahubiri amani huku haki hawataki juizu gumzia poke kama wewe uneliona Leo Sie wenzio tuneshaliona muda mrefu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom