Recent content by Tunkamanin

  1. Tunkamanin

    Aga Khan na Viongozi wa BAKWATA 1980s

    Ukiona hivyo basi wewe uko kweny kundi la wenye kudhulumu.
  2. Tunkamanin

    DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

    Kuna mahali walimu wetu wa kiswahili walifeli. Hii ni aibu
  3. Tunkamanin

    Nawapa pigo la nguvu wachawi wote Duniani kupitia fimbo ya mti wa mbaazi

    Kakobe muislam, mwamposa ni muislam, gwajima ni muislam, sumbawanga kule ni waislam tupu, iringa hapa kwa wakinga na mbeya waislam ni asilimia 99. Mavi yako
  4. Tunkamanin

    Bei ya mbaazi sokoni

    Leteni majibu basi wakuu
  5. Tunkamanin

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    ZOLA popote walipo wapigwe mawe. Ni matapeli OVER
  6. Tunkamanin

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Nimeshafika mahakamani kuwashtaki ZOLA, Ni matapeli. Mimi nimewalipa pesa waje kufunga mtambo wao. Wakapiga hela na mtambo sijafungiwa. Miezi 6 sasa. Mwenye mawasiliano yao ya makao makuu naomba. Namba za simu, email na anuani ya posta
  7. Tunkamanin

    NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

    Hapa nimemkumbuka JPM angeshapiga chini makinda. Waliweka nafasi za maudhui za Nini? Huu ni uchafu, kukosa utu na uungwana. Kiufupi wangetoa maelezo na kuomba samahani. Uungwana ni vitendo.
  8. Tunkamanin

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Binafsi nimesikitika sana. Maeneo nilipo majina ya walioomba usimamizi wa maudhui wote wameliwa vichwa. Walipoteza muda na fedha zao kuomba, wamelipotezea tangazo lao. Tz bado sana.
  9. Tunkamanin

    Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Ndio hawahawa, na hata kwa siku unawalipa. Wahuni watupu, hao.
  10. Tunkamanin

    Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
  11. Tunkamanin

    Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

    Kuna mwaka walimvamia ustadh mmoja anatoka madrasa wakampiga na kumpora simu na kumuua papo kW papo. Jamaa zetu wa masjid Taqwa na Mtambani, vijana wa kazi walienda polisi mwananyamala. Wakawaambia polisi ndugu yetu ameuwawa sisi tutawasaidia kuwapata wauwaji na tutatoa funzo kwa panya road...
  12. Tunkamanin

    Ushauri: Online class masomo ya sayansi katika kipindi cha corona wapewe walimu wazoefu

    Hii ni moja ya nyuzi zangu, jicho langu la moyoni liliona mbali sana. Leo elimu ya Physics ya Muddy amezikwa nayo, sijui pale Azam walifanikiwa kupata record ngapi za huyu mwamba wa elimu naomba kama wanazo watuwekee youtube tumkumbuke mwalimu wetu. Allah amlaze mahali pema peponi Muddy...
  13. Tunkamanin

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Umeniongelea na mimi na wala siongezi neno. Mwenyezi Mungu muangalie kwa jicho la huruma kiumbe wako huyu. Amekuja kwako mnyonge na dhalili, basi msamehe alipoteleza, kwa rehma zako ya Allah
  14. Tunkamanin

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Kwa hisani yako naomba maelekezo ya mlipomlaza mwalimu wangu nataka nikirudi Tanzania niende kwwenye kaburi lake, niubusu mchanga wake na nimuombee dua, kipenzi cha wanaadamu, mwanachuoni wa zama zetu katika ilmu ya fisikia.
  15. Tunkamanin

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Allah amlaze mahali pema peponi Muddy phyisics kweli wanachuoni hawadumu, ameondoka na ilmu yake......Mwalimu wangu wa miaka yote katika elimu ya sec
Back
Top Bottom