UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
- Thread starter
- #41
Nina UMEME mbona halafu hiyo laki tatu wanayotaka ni bora niifanyie kitu kingine hata kutoa Kwa YatimaTumia mshumaa maisha yako yote
Nina UMEME mbona halafu hiyo laki tatu wanayotaka ni bora niifanyie kitu kingine hata kutoa Kwa YatimaTumia mshumaa maisha yako yote
Sasa kwa hela yote hiyo uliyo wanufaisha, huoni ungeingia mwenyewe dukani ungepata mtambo wa watt 100 wa kuangalia mpaka tv! Taa 10, unachaji simu masaa 24! nk!!!Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Wewe acha tu ni kutokujua na hawa jamaa walikuja kwa lugha soft na ya kijanja sana ndo wakaniingiza mkenge zola yenyewe watt 40 kwa laki 9Sasa kwa hela yote hiyo uliyo wanufaisha, huoni ungeingia mwenyewe dukani ungepata mtambo wa watt 100 wa kuangalia mpaka tv! Taa 10, unachaji simu masaa 24! nk!!!
Ushakutana nao niniZOLA popote walipo wapigwe mawe. Ni matapeli OVER