Nawafahamu nami niliwalipa malipo ya awali Tsh.285,000 hao MYSOL waje wanifungie Sola wakaja kufunga.Sola ikakaa siku 26 haiwaki kila nikiwapigia simu wanaahidi kuja halafu hawaji,nikaanzisha Uzi humu JF kuomba ushauri,Pole mkuu...washawahi kukutenda?
Inasikitisha kuona matapeli kutumia mainstream media kufanya advertising kisha kuliza watu.. MYSOL wamejitangaza sana kupitia radio mawingu...JATU na Mr Kuku kadhalika.


hivyo nikapata faida nono sana na jamaa KENGEMAJI99 nikampoza na 50,000!


Komaa nao mwisho utaambiwa elfu 50Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Kwahiyo mnawasiliana kwa mdomo tiu hakuna sehemu ulipewa bei kwa maandishi? Kama ni kwa maneno tuu Lipa maana huna ushahidi wa bei ya hiyo Sola ya Zola.Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Hakuna buashara ya hivyo. Yaani wakufungie mtambo bure, utumie bure halafu waje wachukue bure.! Manabii wa upako wanatoza hela kukuombea wewe nani upewe bure?Waambie waje wachukue mtambo wao na wakupe pesa yako uliyolipa.
Aiseeee kumbe Asante kuniongezea pointsNimeshafika mahakamani kuwashtaki ZOLA, Ni matapeli. Mimi nimewalipa pesa waje kufunga mtambo wao. Wakapiga hela na mtambo sijafungiwa. Miezi 6 sasa.
Mwenye mawasiliano yao ya makao makuu naomba. Namba za simu, email na anuani ya posta
Asante naendelea kujifunzaZola ni wahuni kama wahuni wengine.
Wanapaswa kushtakiwa mahali husika
Kwenye makubaliano Walinichezea sana walinilaghai Kwa kuniambia JUMLA 500000 jumla ila baadae ndo zikaanza kasheshe ndo zinanitesa mpaka leoMlikubaliana jumla utalipa sh ngapi
Inawezekana kwani kufanya hivyo ?Waambie waje wachukue mtambo wao na wakupe pesa yako uliyolipa.
UMEME nishaweka kitambo sanaUpo kijiji gani?
Wasiliana na Wizara ya Mh. Makamba mpatiwe umeme, muachane na hao watu.
Vipi kwani hauna mkataba? Labda tuanzie hapo
Wewe ni mwenzao nini yaani sola inawasha taa nne niwe nimeinunua karibia laki 9 na ushee halafu wewe unaona sawa kweliNijuavyo mimi usipolipia taa zao haziwaki hata km wasipong'oa mtambo wao, hivo chamsingi fanya malipo kwa mujibu wa makubaliano yenu yaliyopo kwenye mkataba
Na kingine kama ukiwapigia sahivi na ukataka kumalizana nao lazima watakupangia kiwango kikubwa maana hapo we ndo unavunja mkataba
Thanks for the great idea 💡 be blessWaambie watoe mtambo wao mkuu...umeshapata umeme sasa hicho kisola cha kuwasha taa nne cha nini...?
Count your losses now and move on, don't pay them even a cent from now onwards....
Kweli kabisaaaaa natafuta pa kuanzia tuZola ni wahuni kama wahuni wengine.
Wanapaswa kushtakiwa mahali husika
Laki 9 sola inawasha taa nne hapana NIUENI SILIPI AISEEEDawa ya Deni ni kulipa, lipa deni lao.