Zamani za ujinga, niliuza gari hilo kupitia madalali, hivyo sikumbuki mnunuzi na dalali aliyeuza alishafariki. Nimeenda TRA nimekuta hiyo gari inasoma kwa kwa jina langu na inadaiwa road license hela nyingi tu.
Wewe mwenye gari hilo, au kama unamfahamu mwenye gari hilo please tuwasiliane namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.