Huyo jamaa ni tajiri wa kutupwa , ni miongoni mwa wafadhili wa Chadema , Hana njaa .Fanya kazi wewe na sio kukaa umeganda kwenye runinga siku nzima.
[HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG].
buku 7Wewe unafanya nini humu?
Acha kumpandisha chati huyo Salary Sleep.Huyo jamaa ni tajiri wa kutupwa , ni miongoni mwa wafadhili wa Chadema , Hana njaa .
Zima hiyo tv ufanye Kazi wewe.kazini kuna tv unalingine
Mbezi maeneo gani
aisee hurumaLile jengo liliachwa mwezi wa nne walivyobomoa majengo mengine, walipewa grace period(mwenye jengo alihurumiwa), akaambiwa ajiandae kulivunja mwenyewe ili kuokoa samani zake.
Hakufanya hivyo, pale kuna bank ya crdb, kulikuwa na bar kubwa wao walivunja wenyewe mwezi wa nne na kuokoa vitu vya. Huyu mama mwenye jengo lile akazidi kukaidi, leo amepata dawa yake.
Pale ni road reserve, kuna project ya barabara toka kinyerezi itapita pale, itakuwa ni makutano ya kinyerezi, goba na morogoro road.
KimaraMbezi ipi jamani, ya Kimara ama Beach?
We unaletausengerema hii issue chadema waneingiliajeSerikali nyonga kabisa hao mafisadi chadema
Bahati nzuri mheshimiwa wezi jua kuwa wrote wale in chadema. Mwanachi mwenzako anapopatwa na shida usifurahi. Mungu anakuonaSerikali nyonga kabisa hao mafisadi chadema
Hatupingi hill ndg ila baada ya kufika na vifaa vya ubomoaji, walitakiwa watoe ilani ya masaa hata 3 . Nabaada ya hapo waanze kazi. Walioathirika na wanyonge si yule mama!?Lile jengo liliachwa mwezi wa nne walivyobomoa majengo mengine, walipewa grace period(mwenye jengo alihurumiwa), akaambiwa ajiandae kulivunja mwenyewe ili kuokoa samani zake.
Hakufanya hivyo, pale kuna bank ya crdb, kulikuwa na bar kubwa wao walivunja wenyewe mwezi wa nne na kuokoa vitu vya. Huyu mama mwenye jengo lile akazidi kukaidi, leo amepata dawa yake.
Pale ni road reserve, kuna project ya barabara toka kinyerezi itapita pale, itakuwa ni makutano ya kinyerezi, goba na morogoro road.
Tatizo watu wakipewaga taarifa wanajisahau...Hatupingi hill ndg ila baada ya kufika na vifaa vya ubomoaji, walitakiwa watoe ilani ya masaa hata 3 . Nabaada ya hapo waanze kazi. Walioathirika na wanyonge si yule mama!?