Recent content by Tuive

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fashion and design school in DSM

    angalia website ya veta chang'ombe ipo hiyo course google tu nimesahau website yao
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

    Hiyo ndo vaa ya baadhi ya dini zetu Tanzania labda na yeye ndo hivyo
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aden rage asimamishwa na kamati ya utendaji ya simba

    nimeiona hata mimi breaking news ITV Pia king na Julio wamepigwa chini
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu

    Kuna mwalimu hapa grade A anatafuta kazi private primary schools alipangiwa peripheral sana anatafuta kazi mawasiliano
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Wife DOES NOT WORK !!!

    Mmh!! umegusa ukweli kuna jamaa kageuza mke kama mama yake kabisa ingawa wote wanafanya kazi apike aandae mavazi viatu na nyumba akiingia akute safi. Kweli mke hana day off
  6. T

    JamiiForums Tanzania Cheka kidoogo

    Balaa hamna haja ya DNA Roboti yatosha
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke Amfumania Mumewe kwenye Sms na Kumpa Dozi Nene ya Digitali Kumdespline!!!

    Nimehpenda hiyo iko khdijitali zaidi
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa hii imekaaje?mume kuwepo chumba cha kujifungulia mkewe na kushuhudia mambo yote?

    Unaweza ukawepo unamsaidia kusugua mgongo na kiuno then wakati wa kutoa mtoto ukawa pembeni kuna mzungu mmoja alikuja kumsapoti mkewe basi ile second stage mzungu aliharisha mpaka kuwekewa drip si mchezo inabidi uwe na moyo mgumu kidogo
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ageuka kuwa mama yako

    Utakuta Mwanaume akioa mke basi kila kitu anataka afanyiwe: apikiwe, anyoshewe, achaguliwe nguo ya kuvaa, nguo za ndani afuliwe na pia aambiwe badilisha leo na vaa hizi hapa, maji ya kuoga awekewe tena ya moto sababu ameoa asipofanyiwa ataenda nyumba ndogo hebu tujadiliane inawezekana kama mke...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na imani za ajabu ajabu

    Ukifagia ndani usiku usizoe taka utaondoa bahati
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na imani za ajabu ajabu

    Usile ukiwa ume lala ukila umelala mama yako atakufa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na imani za ajabu ajabu

    Usile ukiwa ume lala ukila umelala mama yako atakufa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na imani za ajabu ajabu

    Ukifagia ndani usiku usizoe taka utaondoa bahati
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta jamani

    Tena ktk maandiko ya Mungu kitabu cha mithali anaezini mwanamke hana akili maandiko hayasemi uongo je unakubali kuwa huna akili tafakali chukua hatua IKIMBIE ZINAA WEWE
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni HIV Positive

    Kabla ya ndoa mnapima mara moja lakini kuna kipindi cha mpito miezi mitatu Hiyo hali isikupe tabu maana sio ninyi wa kwanza wapo wengine pia imewatokea ila mtumie zana wakati wa kushiriki na pia mkitaka kuongeza mtoto sababu ni haki yenu kabisa unamuaandaa mama vya kutosha ili kuwe na maji...
Back
Top Bottom