Watanzania na imani za ajabu ajabu

Watanzania na imani za ajabu ajabu

Ukimchungulia mkubwa (uchi)uta pofuka macho
Imani potofu maana yake ni, hata ukikinga madhara yatatokea. Na hata usipokinga, madhara hayatatokea. sasa hii posti yako da! kuchungulia nanihii ya mkubwa sawa? Hii sio imani potofo,ingawa kinachosemwa sicho kinachotokea. yapo madhara kimaadiri.
 
uislamu na ukristo pia ni imani za ajabu, ajabu sana. mbona hazitajwi? au kwa sababu zimeletwa na ngozi nyeupe?
 
NBC Club leo nimemkuta mtu na akili zake timamu akikojoa kwenye sinki la kunawia mikono. Nimekaairishwa sana
 
Back
Top Bottom