Unapoamua kuoa ni vema kujifunza kukubaliana na chaguo lako! Yaani mkeo! Kinachokusumbua sasa ni tamaa inayochochewa na kukinai Kua na mtu mmoja muda wote!! Ukitaka kulinda ndoa yako na malezi mazuri ya hao watoto wako wawili huna budi kufukuza hio tamaa na Kujipa muda wa kuikataa Kinai yako! Nitakupa tips! Weka taratibu za kufanya mapenzi na mkeo walau Mara moja au mbili kwa wiki!! Kama ulizoea Mara kwa Mara hio itarudisha ham nae, Baada ya zoezi hilo jipe kiji safari walau wiki mbili bila kumuona mkeo ili upate wasaa wa kumkumbuka na wakati huo ukiondoa tamaa zote za wewe kucheat!!kwani ukija kucheat ndani ya ndoa hio dhambi itakurudia na itakucost!!