Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

Kama angevaa vizuri muda huu mngekuwa mnaongelea harusi ya p...
Lkn saiz kila mtu hata nigeria wanamdiscus yeye...
Huyu dogo ubongo wake unafanya kazi haswaaaa!!!
 
Khaaa !

Hiyo sijui modo ama don't touch
kweli ni aibu na fedheha kwake.
 
Khaaa !

Hiyo sijui modo ama don't touch
kweli ni aibu na fedheha kwake.
 
Nachukia umaarufu kama huu kuliko chochote, Mungu nisamehe ila I better die alone than getting married with the so called celebrity, mpaka naskia hasiraaa
 
kwa kweli hata mi ilivyoona hiyo pedo, nikajiuliza hivi mtu anawezaje kudress hivyo kwenye harusi? nikadhani labda mie mshamba, na hayo ndio mambo ya kimjini. kachemsha na hilo vazi, lol.
 
usharobaro umemzidi

Na ushamba sijui

Unashindwa kujua vazi la harusi?

Hata kuuliza wenyeji wako?

Au ndo kutafuta attension??
 
Alikua anataka watu wampe attention na wamjue...angevaa kanzu nani angemjua.??? Ila hovyoooo
 
From being Muuza mitumba original to kwenda kuwa msanii wa kichanganyika na celebrity wakubwa si mchezo .... Anahtaj trainings kidogo kama nini anatakiwa afanye akiwa wapi na akiwa na nani. Kutafuta attention ipo siku kutamtokea puani maana nakumbuka wakati wa msiba wa Marehemu Sepetu alinyanyuka aondoke kabla ya Rais wa Zanzibar na huku wote walikuwa wametangaziwa asiondoke mtu kabla Rais hajaondoka angepigwa risasi siku zile sahiz tungekua tunamienzi kwa kale ka wimbo kake
 
Hivi hii sio ile tight ya Wema Sepetu aliiva kama sikosei akiwa China au siku anarudi China jamani hahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimechekesha Sana.....ila sio mbaya umaarufu hauji bure bwana bila kuwa bize. !!
 
Hii inaonesha jinsi diamond alivyo mjinga.

Hivi kweli hiyo ni nguo ya kuvaa kwaajili ya harusi?

Hii nguo nilimuona nayo wema sehemu fulani.

Yani diamond anavaa kama mcheza show kwenye harusi?

daaa ana hitaji ushauri.
 
Yule jamaa anaitwa heaven on desert leo kimya sijui anajipanga huko aliko kuja kumsafisha bosi wake'!?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom