Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Je hamkujua kuwa huyu bwana alishahukumiwa kwa kuiba hela wakati huo FAT? Iweje mumpe hiyo nafasi wakati ni mwizi aliyehukumiwa tayari?
Inadaiwa alifungwa kwa hila za Bazazi Kapuya kwa ugomvi wa kisiasa...
Msomali kwisha habari maskini...
View attachment 122090