Mke Wangu Amegraduate Chuo Cha Ualimu Tukuyu Diploma Yake Mwaka 2015 na Kupata GPA ya 3.0 kwa Mujibu wa Matokeo ya NECTA.
Mwaka 2017 Akataka Kujiendeleza Kwa Kusoma Digrii Yake OPEN UNIVERSITY Akapewa Sharti Atafute Uthibitisho NACTE Kwa Sababu Cheti Chake Hakikuwa na GPA .
Basi Tukalipia...
Makete anayekubalika ni Jackson Mbogella Mpiganaji Aliyejitolea Maisha Yake Kuwatetea Wanyonge wa Makete kwa Kupambana na Ufisadi Uliokuwa Umetamalaki Wilayani hapa kwenye taasisi za kanisa KKKT na Halmashauri ambapo mapambano hayo yalipelekea watu kufukuzwa kazi.
Jackson Mbogella ndiye...
Makete imegeuzwa shamba la bibi hakuna anayejari maslahi ya wananchi zaidi ya matumbo yao nadhani sasa ni wakati mwafaka wa kubadilisha uongozi kuanzia mbunge mpaka madiwani wa ccm maana kazi imewashinda
Acha kudanganya watu makete ipi ambayo watu wanaogopa kufanya maendeleo kisa uchawi? Huo UKIMWI kwenu haupo? Acha kuchafua wilaya yangu nakubaliana na huyo mwenye hoja ya ubadhirifu lkn sio wewe
Wadua naomba kujua kama sheria zinaruhusu vijana wetu wa sekondari kuanzisha matawi ya vyama vyao hasa chama tawala mashuleni maana nimeshangazwa kuona vijana wa chama cha mapinduzi wakiwa wameanzisha tawi la chama chao hapa shuleni.
Nina Simu Yangu ni Samsung GT S55701 Shida ni Kuwa Ina External Memory ya 8GB na Iko Tupu Wakati Internal Imejaa Sasa Ninapojaribu Kuhamishia Kwenye External App Zinagoma Nifanyeje?
Nimesoma Udsm kampasi ya Mlimani sijawahi muona Mhadhiri anatumia kiswahili kufundishia.....nimefundishwa na Wahadhiri kama Prof. Baregu, Prof. Chaliga, Prof. Max muya, Prof. Benedeta Killian, Bashiru Ally, Dr. Rwaitama, Dr. Bruce, Dr. Kitila Mkumbo nk kuwa specific ni Maprofessa gani kwa majina...
Umewaelimisha mkuu nadhani sasa mtoa maada ameelewa kuwa Malema kapata mafanikio makubwa ambayo tulio wengi hatukutegemea kabisa pia siasa za SA tofauti na hapa kwetu kule wananchi wanakiamini chama na si vinginevo wakati hapa kwetu ni mara nyingi tunaangalia mtu na chama chake pia
Nina Mashaka Sana na Viongozi Wa CHADEMA Kwani Pamoja na Hali Kuonyesha Wazi Kuwa Chama Chao Kinahali Mbaya Kwa Sasa Bado Wanaujasiri wa Kusimama na Kujisifia Mafanikio Mufilisi Kabisa Katika Chaguzi Ndogo Zinazoendelea Hapa Nchini, Binafsi Nadhani Umefika Muda wa Kujitadhimini Kama Chama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.