Usikubali akunyonye

Usikubali akunyonye

sasa ukimng'ata gegedo, nani atakuhudumia bibie?

Nikimng'ata gegedo ajue ndo bye bye maana nae c anantoa ngeu ili nisiambiwe habari mrembo huko barabarani sasa yeye atasalimia sana ila pale kati no gegedo😛
 
pole mkuu naona ulikata ghafla sana aisee..... Lakn naona hata ww ulijitahid kung'angania tawi ili usisombwe na mafuriko ya malaria

Nimebisha mwazo mwisho yananitesa lakini nakomaaa hapa akatwi mtu... malaria si kitu kizuri kinatesa aisee
 
Nikimng'ata gegedo ajue ndo bye bye maana nae c anantoa ngeu ili nisiambiwe habari mrembo huko barabarani sasa yeye atasalimia sana ila pale kati no gegedo😛

atakutafuta tu akufanyie kitu mbaya, si unajua wanaume akili zetu.. hatusomeki sometimes
 
Tito Vilanova amekufa kwa kansa ya koo. Nasitisha kwenda uvinza kwa mda usiojulikana..
 
Back
Top Bottom