Tafadhalini Wadau Nisaidieni

Tafadhalini Wadau Nisaidieni

Tsakhodegha

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
27
Reaction score
13
Nina Simu Yangu ni Samsung GT S55701 Shida ni Kuwa Ina External Memory ya 8GB na Iko Tupu Wakati Internal Imejaa Sasa Ninapojaribu Kuhamishia Kwenye External App Zinagoma Nifanyeje?
 
kama zinagoma bac create backup then uninstall apps zote, badilisha storage ya apps kuwa kwenye memory card then restore
 
Nina Simu Yangu ni Samsung GT S55701 Shida ni Kuwa Ina External Memory ya 8GB na Iko Tupu Wakati Internal Imejaa Sasa Ninapojaribu Kuhamishia Kwenye External App Zinagoma Nifanyeje?

kwa samsung navyofahamu, huwezi ku-install apps kwenye SD card bila kufanya Rooting
 
Unafanyaje rooting?

Rooting inafanyika kwa njia 2 . Kuna njia ya kutumia android app na nyingine ni kwa kutumia computer. Kwa computer unatumia program kama vile KINGO APP
 
Rooting inafanyika kwa njia 2 . Kuna njia ya kutumia android app na nyingine ni kwa kutumia computer. Kwa computer unatumia program kama vile KINGO APP

Ahsante mkuu.:thumbup::thumbup:
 
Nashukuru wadau wangu kwa michango yenu embu nijaribu nitaleta mrejesho hapa hapa
 
Back
Top Bottom