K karatu78 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 233 Reaction score 42 May 30, 2014 #1 Habari wanajamvi, Naomba mnijuze anayefahamu hii shirika la bima ya maisha maana wamekuja kazini kutushawishi tujiunge nao.
Habari wanajamvi, Naomba mnijuze anayefahamu hii shirika la bima ya maisha maana wamekuja kazini kutushawishi tujiunge nao.
Kalunde James Member Joined Mar 29, 2014 Posts 76 Reaction score 7 May 30, 2014 #2 karatu78 said: Habari wanajamvi.naomba mnijuze anayefahamu hi shirika la bima ya maisha.mana wamekuja kazini kutushawishi tujiunge nao Click to expand... Kuingia sawa lakn.. Kujtoa ni shda Malimbkzo yako yanapoiva(kufka mda wake) wanazngua sana kulpa!!!!!!!!!! Mwenyew sana kulpa!!
karatu78 said: Habari wanajamvi.naomba mnijuze anayefahamu hi shirika la bima ya maisha.mana wamekuja kazini kutushawishi tujiunge nao Click to expand... Kuingia sawa lakn.. Kujtoa ni shda Malimbkzo yako yanapoiva(kufka mda wake) wanazngua sana kulpa!!!!!!!!!! Mwenyew sana kulpa!!
K karatu78 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 233 Reaction score 42 May 30, 2014 Thread starter #3 Wameniambia siku hizi wamerahisisha huduma yao ukitakakutoka unaandika barua yakusitisha kwakupitia mwajiri wako.
Wameniambia siku hizi wamerahisisha huduma yao ukitakakutoka unaandika barua yakusitisha kwakupitia mwajiri wako.
Tsakhodegha Member Joined Mar 16, 2013 Posts 27 Reaction score 13 May 30, 2014 #4 Wahuni hao hawana jipya mkuu!