CHADEMA hali yenu ni mbaya jitafakarini tena

Tsakhodegha

Member
Mar 16, 2013
27
13
Nina Mashaka Sana na Viongozi Wa CHADEMA Kwani Pamoja na Hali Kuonyesha Wazi Kuwa Chama Chao Kinahali Mbaya Kwa Sasa Bado Wanaujasiri wa Kusimama na Kujisifia Mafanikio Mufilisi Kabisa Katika Chaguzi Ndogo Zinazoendelea Hapa Nchini, Binafsi Nadhani Umefika Muda wa Kujitadhimini Kama Chama na Kuja na Mikakati Mipya Yenye Mashiko na Tija Kwa Chama Sio Kila Siku Kutengenezeana Majungu na Kufukuzana.
 
tumewazoea nyie vijana mapandiki wa lumumba mitandaoni mnapewa sh ngapi??,

hamna hoja nyingine ni cdm tu??kwani cdm tu ndo chama kigonjwa??

kuna cuf, nccr na act-tanzania wape na hawa dose ili wapone basi,

alafu wanyime dose wagonjwa CDM ile wafe kama unavyotaka,

vinginevyo unawogopa CDM, kwa kuwa hujui ni kina nani tupo nyuma ya cdm, laiti ungelijua ungeliacha kupost utumbo kwa tsh 7000
 
Chadema kwisha kazi ngoma ya watoto haikeshi.uongozi mbaya wa wacheza disco na kunywa viroba umewaua
 
Unasema CDM hali yao mbaya wewe yako ya kimaisha ni nzuri fata yako acha kupoteza muda kwa kunadi watu wakati utakuta uko kijiweni ukihesabu magari ya watu huku ukisubiri mama issa aivishe mihogo
 
Chadema hawana jipya maana kazi yao ni ugomvi na vurugu zisizoisha kila kukicha na kwa hali hii hawawezi kuongoza watanzania.
 
Wafanye mchsnganyiko wa viongozi
Mwenyekiti atoke mtwara
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom