Recent content by Troubleman

  1. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

    Toyota dualis 🤦‍♂️
  2. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Nilikuwa na number tu ya nida, Wale maafisa wa utumishi wakasema wanahitaji ID na sio number, Wakanishauri niende kwenye ofisi za mwenyekiti wa mtaa kisha nikapatiwa barua iliyonitambulisha kufanya mtihani
  3. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Barua ya serikali za mtaa inakubalika Mkuu, Mimi niliwahi kutumia kwenye interview ya utumishi
  4. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    Dahh hii comment yako imenipa furaha siku nzima
  5. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Alitaka kuniibia mke, mzee wa hekima akaokoa jahazi

    Lipia kabisa king'amuzi chako mkuu
  6. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kaibiwa iPhone halafu mwizi anaonekana Online akichat

    Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police Oystertbay. Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
  7. Troubleman

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Leo Sichezi mbali na njia panda ya jeshi mkuu,
  8. Troubleman

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Mtaani makongo juu leo zitanyweka beer nyingi sana wakuu,
  9. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

    Anti-locking braking system.
  10. Troubleman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Poleni sana mkuu,
  11. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Chakula cha Mama Ntilie ni kwaajili ya masikini

    Hivi wakuu yule aliesemaga usafiri wa daladala ni kwa masikini tu sio huyu kweli?
  12. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

    United nations road, Offices zao zipo opposite na shule ya ist kama sikosei.
  13. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

    Mkuu jaribu kuwaona stamico(state mining cooperation)
  14. Troubleman

    JamiiForums Tanzania Aibu yako umasikini wako

    Nilitegemea usome kisha unipe summary mkuu,
Back
Top Bottom