Msaada: Kaibiwa iPhone halafu mwizi anaonekana Online akichat

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Jamani msaada wa haraka unahitajika kuna ndugu yangu kaibiwa simu sasa aloiba simu yupo online watssap na namba hiyo hiyo ya jamaa na anawapa watu hadi namba za kutuma hela.

Hapa nini kifanyike tumkamate mwizi? Na kizuri ni kuwa aloiba tushapata namba yake ambayo baada ya kuiba simu alikua anaomba atumiwe hela kwa namba ya simu ambayo alimtumia mmojawapo wa ndugu yangu.

Msaada wa haraka unahitajika hapa nini kifanyike jamaa apate simu?
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,619
2,000
Hata hio namba anayotumiwa pesa huenda ni ya wizi sio yake...

Anyway nenda police watu wa cyber ongea nao wakitrack yupo karibu na mnara upi au sehemu ipi wanamfuatilia na kumshika Iphone ku-flash sio rahisi kama simu nyingine, hivyo elekea police watu wa Cyber...
 

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Hata hio namba anayotumiwa pesa huenda ni ya wizi sio yake...

Anyway nenda police watu wa cyber ongea nao wakitrack yupo karibu na mnara upi au sehemu ipi wanamfuatilia na kumshika Iphone ku-flash sio rahisi kama simu nyingine, hivyo elekea police watu wa Cyber...
Poa
 

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Hata hio namba anayotumiwa pesa huenda ni ya wizi sio yake...

Anyway nenda police watu wa cyber ongea nao wakitrack yupo karibu na mnara upi au sehemu ipi wanamfuatilia na kumshika Iphone ku-flash sio rahisi kama simu nyingine, hivyo elekea police watu wa Cyber...
Poa
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,619
2,000
Tumia FIND MY IPHONE utajua yuko wapi unaweza kwenda hayo maeneo ukamjua mwizi wako
Naam kumfuata mwizi wako ukiwa na silaha ya ngumi zako huenda ikawa ngumu.., ila akiongozana na Afande ambaye ni mshikaji wake kwa ujira mdogo to kazi yote anaweza kufanya huyo Afande hata kama huyo mwizi ameshamuuzia mtu itakuwa rahisi kumu-arrest na kumtia makashikashi kuliko mdau akiwa peke yake.
 

Toxic Concotion

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,683
2,000
Puuza kabisa wadau wanashauri uende polisi .
Bora hata wangeshauri uende kwa babu sumbawanga.
Ni kweli kabisa. Kwa huko polisi utaishia kuzungushwa na kutolewa pesa tu bila la maana kufanyika.
Hao wanaosemakana kitengo cha cyber crime hata kuweka APN tu hawawezi, unakutana na njemba linatumia kitochi na ukilipa smartphone kudownload whatsapp tu mbinde ndio ije kutafuta simu ilipo. Kitengo cha cybercrime kinakuwa na ufanisi pale tu wakikuhitaji wao sio wewe ukihitaji huduma zao.
 

Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
972
1,000
.... watanzania tunapuuza sana vitu vya msingi kama ku-set passwords na kutunza IMEI tukiibiwa ndio fahamu zinatujia kuhusu umuhimu wa hivyo vitu! Utakuta kifaa cha gharama lakini wala mtu hajisumbui kuweka basic security settings za kifaa chake; laptops, simu, etc.
Kama wakati inapotea ilikuwa na lain ya tigo ukiwa na loss report ukaenda tigo shop na namba yako iliyokuwemo wakati simu inapotea ukatoa elf 5 wanakupatia imei namba ya simu yako iliyopotea.. mitandao mingine sijui kama wanatoa hii huduma pia sijui kama hii huduma ni officiall au wanafanya fea tu kulingana na utakavyojieleza
 

Samson Ngomboli

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
765
1,000
Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police oystertbay , Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
Polisi wa nchi gani mkuu? Kama ni Tanzania basi hiyo ni bahati isiyo mithilika na ni tukio la kurekodiwa katika vitabu vya historia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom