Recent content by Tripple Jay

  1. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Neema Gosple Choir mmeshindikana

    Hongera kwao, wapo vizuri Sana.
  2. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Hii verse hajaimba huyu Shoga, aliomba anaitwa Savara. Kwny Susana Shoga kalimba verse ya mwisho na ana sauti nzito kuliko wenzie
  3. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Labda amekosa sapoti, gemu ni ngumu hasa kwa kina dada.
  4. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Sijui kwa nn ameamua kuacha mziki, nampenda ana sauti nzuri mno mno mno
  5. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Japo sijui kusema ila picha nimeona Una mpango wa kando nafsi yng unaichoma
  6. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Haimaanishi sihangaiki nawe Kwenye akili yangu Upendo wako uwe fimbo au Pingu kwangu Sio rahisi kusahau Sura yako Kwenye mboni zangu Sio rahisi kuandika talaka kwa vidole vyangu
  7. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Sikuipata jmn, kuna Ile amkeni bwana amezaliwa, hya twendeni wote. Ilikua na nyimbo nyingi nzuri sn
  8. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Dah, Apumzike kwa amani
  9. Tripple Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Dah Apumzike kwa amani
  10. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania George Ambangile kabla ya Wasafi FM alikuwa wapi? Na elimu hii ya soka kaipata wapi?

    Dah Anna Peter umenikumbusha enzi zake na Mussa hussen nilikua napenda kisikiliza kipindi Chao pale east Africa redio.
  11. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Ewaaa yn hbr zote zilizokua zinatrend mtandaoni alikua anazileta. Yn hta ukiwa huna bando hbr hazikupiti kbs
  12. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Mm nakumbuka tamthilia zao Ile ya wild heart na la patrona. Pia kipind sijui kile kinakufanya hbr ya mtandaoni yn wanazijadili mtangazaji alikua Mimi mars
  13. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Yani nimeenda tena you tube kuichek clip yake mh trh alotaja ni mulemule.
  14. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Apumzike kwa amani
  15. Tripple Jay

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Refa refa refa shenzi kbs.
Back
Top Bottom