Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

Mm nakumbuka tamthilia zao Ile ya wild heart na la patrona. Pia kipind sijui kile kinakufanya hbr ya mtandaoni yn wanazijadili mtangazaji alikua Mimi mars
Nilikuwa na miaka 10 tu enzi hizo lakini nilienjoy sana kuangalia boys boys.

Alehandro wa La Patrona del mor na Maricruz wa Corazon indomable nawakumbuka, nilikuwa nawahi kurudi nyumbani nikitoka shule niwaangalie.

Ile blind date ya mimi mars nayo ilibamba sana.

TV1 sijui walipatwa na nini aisee.
 
Ili uzwa kwa kwese sport tv, ila dah walikuwa mbele ya wakati.
 
ile channel sijui imeishia wapi nakumbuka nilikuwa naifatilia habari, muziki na walikuwa nakipindi chakuhoji wasanii n.k na kale katangazo kao ambapo walichukua video ya siri ya mtungi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom