Recent content by tripojo

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Francis Cheka kashindikana, amtwanga Mashali hadi Kazimia

    Na kweli!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Asante sana Invisible.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

    Sema babaaaa! Asiyetaka kukubali ukweli ana lake jambo!
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana waliolelewa na mama tu au familia ambayo mama anatawala huwa na kasoro hizi?

    Malezi yanahitaji baba na mama. Akikosekana mmoja urari (balance) unapotea katika mwenendo wa mtu. Hata hivyo nakubaliana na wale ambao wamesema si wote wako hivyo.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eddie Ganzel

    Duh, mmenikumbusha mbali!
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

    Atiii wasemaaaaaajeeeeeee?
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

    Naunga mkono hoja!
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume rijali asiye tembea na machangu?

    Tatizo haelewi maana ya rijali. Rijali ni mwanamme ambaye ana uwezo wa kufanya ngono (jogoo linawika). Kudai kwamba wasiopuyanga na machangu si marijali ni hoja isiyokuwa na mashiko, ya kuhalalisha tabia hiyo. Kwamba viongozi wa serikali, nk, wanazurura nje ya ndoa hakuhalalishi tabia hiyo...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu tujuzeni ukweli.

    Yako mengi ila nitasema machache yatakayokusaidia iwapo utayazingatia: 1. Hakuna mwanadamu aliyekamilika (hata wewe hujakamilika hapo ulipo), hivyo sifa zozote utakazozilisti, kadri zinavyokuwa nyingi ndivyo itakavyokuwa ngumu kumpata aliyenazo nyingi/zote kati ya hizo. 2. Bainisha vigezo vya...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli, inahitaji uume mkubwa kumridhisha mwanamke

    Hapo umenena! Mwanamke aaah yuko poa, mwanamme ndio anaweweseka!
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nimeamua niweke picha ya uume wangu

    Amen, mpelekeni kwenye maombi!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Kweli kabisa, ujenzi huo unaweka maisha ya watu rehani
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Kweli kabisa, unaweka maisha ya watu rehani!
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchakachuaji wa Ting na Startimes kwa njia ya satellite

    Kweli kabisa, tufanye kazi, tulipe!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Maumivu Zaidi ya Foleni Katikati ya Jiji

    Dodoma ni dili la watu kujilipa padiemu wakienda kule ....hali kadhalika, kwa wale ambao ofisi ziko kule, safari za Dar haziishi ili wapate kisingizio cha kujilipa padiemu!
Back
Top Bottom