Ina maana hapo ulipo hujavaa chupi?chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
utandawazi huo wa Bikini unapanua Ta.k.o kuona bikini sio zamani unafunua chupi kuona T.ako!Chupi zile zenye kujaza umbo lake lote ni kama nazo zinapitwa na wakati. Wameamia kwenye mabikini. Wanaficha mashavu tu Ooh Mungu wangu tunapoelekea
skintait zikiwasha ndo lengo lake so vikunio vipo na haviuzwi u just sema utaletewa popote ulipo kiingilio bureee!Mbona andasketi zipo nyingi tu,pita Tandika mpaka unapagawa, mana ndo kijiwe changu, unapata za kila rangi, kila size na urefu unaoutaka, me ndio vazi langu kubwa, skintait zinaniwasha.
akivaa mkiona chupi mnasema dada yupo uchi so bora asivae ili msiseme UongoIna maana hapo ulipo hujavaa chupi?
nnaweza kuichomekea au kuiacha ikaning'inia nje
Nimeipenda hiyoUtandaWAZI. Mambo yote yanawekwa wazi.
UtandaWAZI. Mambo yote yanawekwa wazi.
Mzazi toa tathimini tofauti ya madhara ya utandawazi kati ya India na hapa kwetu.UtandaWAZI. Mambo yote yanawekwa wazi.
Wengine hata skintight hawavai kabisa, ni kachupi ka kishkaji - twende kazi.
Mbona bado tunavaa??
Mie nimevaa ya kijani
Hahahahaa dah piga picha unitumie PM nimezimis kuziona .........................!