Uchakachuaji wa Ting na Startimes kwa njia ya satellite

Du!
Guys, give a break to these companies!...watalipanaje mishahara sasa?

Wanakula fedha nyingi sana hao amma washushe bei amma kuwachakuwa ni halali, especially dstv. Hata wanetulipisha 2,000 tu kwa mwezi still faida ni kubwa kwao.
 
wachina tuwachakachue tu wanafilisi nchi jamani tena kwa Manyanyaso,
tuweni wazalendo kwa kuwaibia japo kidogo kwnye hayo Mang'amuzi yao
 
Kuchakachua sio kwamba unakimbia kulipia huduma bali unawaonesha wahusika kuwa hata security yao yawezekana kuingiliwa.
Its a learning world
 
teknolojia na siasa uwa haviendani kabisaaa, wanateknolojia ni kwa vitendo, siasa ni porojo. wanaotaka kulipa walipe, wapenzi wa uchakachuzi wachakachue, mambo ya kodi yanawahusu nyie, wachina unawaonea huruma? wanakujua wewe?

wengine ni hobi kuchakachua, kuanzia free calls mpaka chochote kile kinachowezekana kuchakachuliwa. hakuna anaelazimisha mwingine achakachue, ukiona ni wizi, lipia. sio kuleta porojo

mie huyoooo, narudi kucode...
 
Watanzania wote mafisadi 2..sasa wewe unachakachua una tofaut gan na yule anayekula mali za uma???msijihesabie haki kabsa....

Binafsi....sipendi kuchakachua lakini baada ya kuona kila kodi ninayolipa kupitia manunuzi mbalimbali ya bidhaa na huduma...sasa ni "nimeamua kurejesha kodi hiyo kwa hao hao watoza kodi (wao ndiyo wanaonilipa kodi mimi)". Tinabadilisha uamuzi huu pale tu nitakapohakikishiwa kodi ninayolipa inatumika kama ilivyopangwa kwa manufaa ya jamii ya watanzania.
 
Sidhani kama unaelewa wanachomaanisha. Wanachotaka ni kupata chanels nyingi Ambazo ni free to air sio kwamba anataka kuangalia bure,
Vipi kaka Nakuheshimu sna bana!,
Russia inaongoza kwa kuwa na Hackerz wengi na wanampaka rank za mahacker, na kwa kufanya hivo, ni ngumu sana kuhack systems zinazotoka Russia!

Huwezi kuimarisha ulinzi kama hujui mapungufu yako!

thats right.
 
teknolojia na siasa uwa haviendani kabisaaa, wanateknolojia ni kwa vitendo, siasa ni porojo. wanaotaka kulipa walipe, wapenzi wa uchakachuzi wachakachue, mambo ya kodi yanawahusu nyie, wachina unawaonea huruma? wanakujua wewe?

wengine ni hobi kuchakachua, kuanzia free calls mpaka chochote kile kinachowezekana kuchakachuliwa. hakuna anaelazimisha mwingine achakachue, ukiona ni wizi, lipia. sio kuleta porojo

mie huyoooo, narudi kucode...

kudosi.
 
Achaeni kuchakachua lipieni huduma kwa maendeleo ya taifa.:israel:

Wewe kilichokuleta humu ni nini, umevutiwa na ui ndy maana umekuja humu! unafki tu umekujaa. kama unataka kulipia lipia na kodi inaliwa na wenye meno we unakenua mapengo!
 
Back
Top Bottom