cheka ndio mbabe wa watanzania 40m?
Umesema kweli aise, nakumbuka miaka ya tisini mwishoni wakati Rashid Matumla yuko juu sana kwenye ndonga ilitokea alitaka kuleta fujo kwanye club fulani jamaa walimpa vitasa vya kufa mtu.Ni mbabe kwa uzito huo kwa watanzania waliojitokeza kupambana naye haimaanishi kuwa hakuna mtu wa kumtwanga kati ya mamilioni uliyoyataja. Wapo wenye nguvu zaidi yake lakini ndonga siyo mchezo wao. Namshauri Kaseba azipige naye katika Kick Boxing.
Ni mbabe kwa uzito huo kwa watanzania waliojitokeza kupambana naye haimaanishi kuwa hakuna mtu wa kumtwanga kati ya mamilioni uliyoyataja. Wapo wenye nguvu zaidi yake lakini ndonga siyo mchezo wao. Namshauri Kaseba azipige naye katika Kick Boxing.
Sasa wewe ndio unaongea nini? Cheka alikwambia yeye anacheza Kick-Boxing?
Wewe kama unaona unammudu Cheka jitokeze, ila wa sheria za mchezo sio ufanye kama CCM ilivyomfanya Ulimboka kwa kumvizia
Nasikia jamaa ndumba sana akikupiga ngumi nikama umedondokewa na mkuyu halafu kila saa ukimwona unaona kama nyuki wanakuja kwako.Jamaa si wakawaida.
Nasikia jamaa ndumba sana akikupiga ngumi nikama umedondokewa na mkuyu halafu kila saa ukimwona unaona kama nyuki wanakuja kwako.Jamaa si wakawaida.
Maneno ya mkosaji, waulize wakazi wa Moro kuhusu mazoezi ya Cheka akiwa anajiandaa na pambano huwa yanakuaje.
Huwa anapandisha tairi ya trekta kwenda mlimani akifika ndio anaanza mazoezi yake na anashuka nalo kwa kulikumbatia hadi chini....kesho same kama jana!