nimeamua niweke picha ya uume wangu

nimeamua niweke picha ya uume wangu

Mtu una watoto, una mke bado unaenda kwa vicheche? Unadhani ukifa mwaka huu utaacha watoto wako katika hali gani??????
 
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi ikabidi ningie uraiani kusaka nyama baada ya muda naona kuna vipele kwenye uume wangu it seem like vinaongeza everyday oooh am real scare na najuta kucheat hivyo ndio maana nikaamua niweke picha ya uume wangu hapa jf ili muweze kupata picha a hk ninachowaeleeza msaada hu ni ugojwa gani
Mkuu wewe wa century gani,yaani una familia then unaingia mtaani na unapiga kavu kavu..?,poor u,i guess its a lesson which u shud learn from it!
 
Wanaume wanahitaji kutahiriwa mioyo yao.
huyu ni pepo amevaa mioyo yenu kupenda ngono na kujiona huwezi kuvumilia wiki2 bila kuipata. Huo sio urijali bali ni pepo wa ngono na aspowatoka mtafanya hvyo kila mara bila kutulizwa hiyo kiu.cha msingi ni kuutahiri moyo kwa jina la Yesu kumuondoa huyu pepo.

Amen, mpelekeni kwenye maombi!
 
Tanzania waanze kuuza ile midoli ili watu wasitafute machangudoa
 
Ungeuweka huo uume nikiuona tu nitajua ni vipele vya gonjwa gani labda kideri je
 
Unaumwa pangusa soon Kibororoni chako kitakatika.

Haaahaahaaa🙂 ina maana muda mfupi ujao atakuwa Kibororoniless? Itabidi na jina abadli sasa; kama ni MODEST awe MODESTA!
 
Du! Ukubwa dawa jamani sasa wewe ni ukubwa nini?,una mke v/s watoto! Unacheat bila uangalifu kweli jama,TANZANIA NA UKIMWI INAWEZEKANA!!
 
Dah pole broo but hayo ndo malipo yako ya hapa duniani kwa kumcheat mkeo unajua kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho na mwisho wako ndo huo hope hutarudia na kama ukirudia we ni noma yatakupata makubwa zaidi ya hayo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom