Maumivu Zaidi ya Foleni Katikati ya Jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu Zaidi ya Foleni Katikati ya Jiji

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Oct 20, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Kiota kipya cha kimataifa cha mikutano katikati ya Jiji kunako barabara ya Shaban Robert na Garden...wadau hiki kiota ni kizuri lakini najiuliza swali dogo tu la kiuchambuzi...maana yake nini???....kuuumbe ndio maana wanafunika wanapojenga maana wanajua hoja za kauzibe zitaibuka
  JNICC 019 (1).jpg
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  wazee wa posho kama kawaida yao....hapa wanapiga jaramba JNICC 073.jpg
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa. mia
   
 4. g

  geophysics JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inahusiana vipi na foleni za magari jijini???? Wewe vipi...mbona husomeki?
   
 5. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani bado tunaendelea tu kucongest the city center!
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  hivyo hoja ya kuhamia Dodoma imesahaulika, imesitishwa, imekufa au? Hatuambiwi kitu whats up?
   
 7. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ubunifu kazi sana, eti JNICC, KICC, MICC!
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  mkuu inabidi umuone mzee mchambuzi, yaani wewe unashindwa kutafakari hata kidogo tu? nakupa mfano; wakati wa world economic forum iliyofanyika Mlimani City kazi zilisimama kwa zaidi ya masa mawili, na hapo ni njia against traffic, imagine mkutano kama ule au mwingine wowote ufanyoke katikati ya jiji ambapo marais wote walau watano tu na delegation yao watahudhuria itakuwaje? au haupo nchini mkuu?
   
 9. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  dodoma ndo wamegoma kwenda kwa style hiyo
   
 10. g

  geophysics JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Main issue ni jengo na foleni za magari...kwa uelewa wangu mdogo.... ndo maana nikashindwa kuunganisha
   
 11. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ana maana ya foleni za MAJUMBA YA KUTISHA JIJINI.
   
 12. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wakisema itabidi warejeshe hela yetu kipindi kile tulikuwa tunalipa shilingi moja kwenye ticket ya cinema kwa mchango wa Dodoma hata soda ilikuwa na mchango wa dodoma kweli nchi hii tumeibiwa na bado tunaibiwa
  kweli kipindi kile kila kitu uchangie shilingi kwa ujenzi wa Dodoma na sijui kama zilikuwa na hesabu nafikiri nyingi ziliishia kwenye mifuko
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Lakini wana bajeti kila mwaka chini ya ofisi ya waziri mkuu, zaenda wapi hizo faranga?
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Dar es salaam, kila kitu ni foleni, mvua, mkutano, maandamano, kurudisha fomu za kugombea urais, mechi ya mpira, taifa stars wakienda uwanjani, sabasaba, mkuu wa kaya akienda kuangalia mgonjwa hospitali, mabomu ya mbagala, dereva wa daladala akiamua kupumzika barabarani, mahabusu wakipelekwa segerea you mention
  ,
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,534
  Likes Received: 81,956
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi jiji kwishney...yaani ukitaka kwenda mahali mpaka kichwa kinauma kwa kuzifikiria foleni halafu kukiwa na ajali au mvua basi unaweza hata huko uendako usifike.

   
 16. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Waufute kabisa mpango wa kuufanya dodoma kuwa mji mkuu.
   
 17. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  umesahau pale matrafiki wetu wanapo jipa break ya lunch kula chips na mayai huku wakishushia na Serengeti ya vuguvugu!
   
 18. t

  tripojo Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dodoma ni dili la watu kujilipa padiemu wakienda kule ....hali kadhalika, kwa wale ambao ofisi ziko kule, safari za Dar haziishi ili wapate kisingizio cha kujilipa padiemu!
   
 19. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Huu muda amabao wakazi wa Dar es Salaam wanatumia kwa ajili ya foleni kwa siku ukiwa quantified tutatoa mimacho kushangaa. Na ajabu hakuna hata mmoja kati ya viongozi waliowahi kuzungumzia kuhusu tatizo hili. Solutions wanazobuni ni kama michezo ya shule za awali. Sasa eti polisi wakati wa peak hour wanalazimisha madereva kuvunja sheria kwa kuendesha upande usiostahili.


  I am amazed, unatatuaje tatizo kwa kuvunja sheria??????? only in Tanzania


  Effect yake ni kuwa watu wamezoea na wameamua kuifanya hiyo concept ya polisi ya kupunguza foleni kama sheria ya barabarani na kuifanya kutumika hata kama hakuna ruhusa ya polisi na hata kama hakuna foleni.
   
 20. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  huu uamuzi uliua watu wengi sana hasa maeneo ya ajangwani, aliyeamua hivi ni yule ambaye pia aliamua MV Bukoba ikawe ubavuni ili watu watoke, matokeo yake maji yakaingia na wakafa wengi zaidi
   
Loading...