Bora kama unazingatia matendo yote yanayomkwaza Mungu, isiwe tu tatoo kama jamaa yng yeye anasema kitimoto dhambi lkn kwa waganga hakauki na kula wake za watu
Point 15 kwa dereva anayesafiri zaidi ya mikoa 5 kwa siku ni chache mno. Hata miezi 2 haiishi inakua imejicancel.
Kwa private niliendesha kutoka Songea Mpaka Kagera kwenda na kurudi nilipigwa faini 2.
Moja eti nimepakia mixigo isiyostahili mzigo wenyewe mche wa parachichi.
Faini ya pili taa moja...
Hii dialogue nimetoka kuifanya na jamaa yangu juzi, hili suala ni kweli kabisa.
Huwa wanasema katika mapenzi kunakua na transmission ya spiritual package.
Sasa ni hatari mwanamke akuzidi umri means magnetic power yake ni kubwa kuliko yako lkn ukimzidi umri hata kama anamikosi power yake ni ndogo...
Ni rahisi sana kutoka kwenye utumwa huo,
1. Okoka mpokee Yesu awe msaada wako kwa unayoshindwa.
2. Oa mwanamke unayehisi anamaliza matamanio yako.
3. Ingiza dharau au negativity dhidi ya wanawake, mfano, ukiona mwanamke mzuri unayehisi unaelekea kumtamani, I gizani mawazo kwamba wanawake wote...
Kichwa cha uzi cha husika, nipo njia panda kwa sababu sina uzoefu bali naamini humu JF (kichaka cha maarifa) nitapata ushauri bora.
Natarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji lkn ili ni speed up production na profit generation nimewaza nipate incubator ya angalau maya 200-
Kuna mashine za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.