Sipati haja kubwa

Sipati haja kubwa

(Kumbuka: kuna aina nyingi za tabia ya matumbo ya kawaida. Baadhi ya watu kwa kawaida huenda chooni kutoa kinyesi mara 2-3 kwa siku. Kwa wengine, mara 2-3 kwa wiki ni kawaida.


Zingatia milo 2-3 kwa siku na iwe milo ya uhakika au ni vyema kula vyakula sahihi au vya kuviandaa wewe mwenyewe

Kabla ya kula hakikisha unatanguliza matunda yenye hali ya nyuzi nyuzi(fible) na majimaji kama vile papai,embe,ndizi,chungwa,tikiti apple na mengine mengi.

Zingatia kunywa maji walau lita2-3 kwa siku kwa ajili ya kuongeza nguvu ya mwili na umeng’enyaji wa chakula.

Punguza kula vyakula vilivyokobolewa na hali ya nyama nyekundu kwa sababu ni ngumu kumeng’enyeka kwa wakati sahihi.

Fanya mazoezi ya aina yoyote walau dakika 5 kwa siku ili kutengeneza na kuimarisha mwili kwa ujumla.

MADHARA YA KUTOKUPATA CHOO KWA MUDA MREFU NI
Bawasili &
Vidonda vya tumbo
N:B
Magonjwa hayo ni hatari sana kwa mwanadamu ingawa yanatibika ila sio rahisi na ni gharama pia.
 
Mm nilikua naenda wiki mara 1, kuna dawa nilinunua kwa masai nachanganya na maziwa jion kila siku, matokeo yake naenda toilet haja kubwa kila siku.

Note, before ulaji wa matunda na mboga za majani nilikua natumia sana ila changamoto ilikua haiishi.
 
kama ni mara moja moja ,hamna shida.Lakini ikitokea wapita siku 2,na inajirudia, shida ipo mfumo wa chakula. Cheki aidha kuzidi kwa acidi (GERD),vidonda vya tumbo (ulcers), bawasiri (Hemorrhoid) au ngiri (hernia). Kwa wanaume magonjwa haya 4 yanaathiri nguzu za kiume hata unywe kontena la dawa za nguvu za kiume. Kama unapenda mimea tiba tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Back
Top Bottom